HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,380
Tuendelee kuchochea tuKabla ya julai ππ
Wauane tuu kwani Wanasiasa Wana Msaada gani?
Mkuu nikiona bandicoot lako huwa nalisoma zaidi ya mara tano tena kwa umakini mkubwa. Kila beno moja kwenye sentencing halijawahi kukosa maana. Let me keep it on waitingJuly imeisha ? Ndo kwanza imeanza
Hakuna wa kumtoa SSH ,vyura wanaruka na kukanyagana tuu tena Wakiwa kwenye korido za nyumba zao Kwa hofu.Tuendelee kuchochea tu
Kwa hiyo yule Mkuu Mpya wa Mkoa, alipoambiwa akahakikishe anaconda heshima ya Spika huko aendako ilikuwa ni kinyume chake???Kuna......
January Makamba
Kassim Majaliwa
Nape Nnauye
Tulia Ackson...........Hawa Niliowaandika Hapa Ni CHAMAMATES.....
Code mbona nyepesi sana hii sema lile wowo limeshatumika sana mpaka umri ule amna cha maana alafu ngozi nyeusi inawazaga ngono starehe mda wote ndo maana watu weupe wanatudharau sanawatu wameshindwa kufungua code za bwana britanicca wameishia kujadili wowowo la mtia niaππ
ππππππHuyo Wajumbe tumempitisha hana pingamizi.
ππItangazwe tu misiba mfuatano WaTz machozi ya kuomboleza tunayo ya kutosha
Imagine!! πDah mwanangu mbona laki umeifanya kubwa ivoπππ
πππwatu wameshindwa kufungua code za bwana britanicca wameishia kujadili wowowo la mtia niaππ
Huko mbali mno. Historia na culture inakataa...Si uliona mpango alijikataa mapemaa.. ilaa kassim atarudi 2030 kugombea urais amini nakwambia
Teh teh π π Leo umeongeza point..Kabla ya julai ππ
Wauane tuu kwani Wanasiasa Wana Msaada gani?
Huyu si Mamndenyi huyu?Hata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....
View attachment 3391295
Tulia outCCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Wewe bwana mimi nashukuru umepona ni habari njema..!! πΉπΉπ€£Kabla ya julai ππ
Wauane tuu kwani Wanasiasa Wana Msaada gani?
Naiwe hivyo,huenda nuru ikachomozaCCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Huyu kwa namna hii atatusaidia sana Bungeni!Hata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....
View attachment 3391295