Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

Acha wauane
 
Asa ma code ya nn ? Nn cha kuficha ? Kina tulia, January n.k ! It's boring
 
Teh teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ Leo umeongeza point..

Naunga mkono hoja yako japo ipo kwa mtindo wa swali.
Kwani ni mara ya kwanza? Mbona kwenye manyuzi yenu hayo ya kina Lisu Huwa naandika sana huu msimamo wangu?

Kwamba wewe na ujinga wako unadhani Lisu atakujakukutafutia hela ya kula au?. Labda kama na wewe ni mwanasiasa.

Ila Mimi I know kwamba Wanasiasa wote ni washenzi wanafanana tabia and so I don't both wakiuana,kufungana jela etc.Japo ni shabiiki kondaki ndani wa SSH.
 
unajidanganya tulia yupo palepale
 
Sisi hao, ni humu tuuuuu!
 

Attachments

  • downloadfile.jpg
    50.3 KB · Views: 21
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…