gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Unaogopa nini!!?CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Kaka mie ndio ugonjwa wangu huu nikikamata wa aina hii nikamkunja vizuri hapo naenjoy vibaya mnoDuu kweli binadamu wanaume tunatofautiana. Mimi hata bure sitaki. Yaani wanawake wa aina hii kwa sex hapana. Hata nilale naye kitanda kimoja usiku kucha.
2030 hapati coz itakua ni zamu ya katolikiSi uliona mpango alijikataa mapemaa.. ilaa kassim atarudi 2030 kugombea urais amini nakwambia
Huwezi shindana na ulipotokea...unajisifu kufukua shimo lililochimbwa tayari!!Hawa wakiingiaga anga zangu uwa nwafilimba Sana ana bahati simjuwi huyu😀😀😀😀
Daah katolikii tena 😀 😀 😀2030 hapati coz itakua ni zamu ya katoliki
Bila shaka kama umeoa mkeo ana shape hii. Au kama hujaoa, ukioa utaoa wa aiana hii? Naomba unijubu kwa sababu nina sababu maalum ya kuuliza.Kaka mie ndio ugonjwa wangu huu nikikamata wa aina hii nikamkunja vizuri hapo naenjoy vibaya mno
Mkuu, tarab na wewe wapi na wapi?😉Huu mzigo hata akisema anataka laki moja natoa mda huo huo 😎😋😋
Sijakuelewa mkuuMkuu, tarab na wewe wapi na wapi?😉
Ndio 😀Daah katolikii tena 😀 😀 😀
Kama itakuwa kweli nitajua kile chama hata ukajipendekeza kiasi gani, wakitaka kukutupa, watakutupa tu.CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
Februari Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Aliposikia "NO REFORMS NO ELECTION " kaenda zake Mloganzila kufanya REFORM ya ule mzigo wa mmm....Alivyobinyua hayo makalio, akipata ubunge natoa taadhari bunge lijalo
Who might that be?..Who might be that mtu?
Yaani jinsi tulia alivojitoa ufaham wakimtema ntapigwa na bumbuwazi 🤣Kama itakuwa kweli nitajua kile chama hata ukajipendekeza kiasi gani, wakitaka kukutupa, watakutupa tu.
I agree. My sentence feels more inverted than normal flow. And I know that. Ndio maana pia nimeweka neno mtu hapo. Usichukulie siriasii saanaaWho might that be?..
atakae fanya hivo atafutwe mara moja atiwe bakora na achunguzwe uraia wakeOle wake mjinga mmoja awaachanishe wakishikana mashati
alisema linaweza cheleweshwa makusudi kasome tenaKwani ulisema July au kabla ya July mtume wa jamii forum
CCM pagumu sana nikiTULIA ni ka AKSI ON yanayoendelea naona naye hapa kamati inamkataa sana
Atapewa form Ila kuna mtu ambaye wanaona SULUHU iko kwake pale kwa Taita!!
Zeri kashtukia watamtoa, kaanza na Diblo baada ya Diblo kusema anarudi akatonywa kaa pembeni, naona sasa na Mwingine anafuata baada ya Yule wa Burundi nusu kusema hagombei Kama mwenza tena ,
Wanauana hawa kijani ndani kunafukuta
February Mauzi naye njia panda
Mdogo wake Bendera ya Maembe naye hati hati
Britanicca
Uzi ganialisema linaweza cheleweshwa makusudi kasome tena
MashaallahHata sijaelewa unaongelea nini. Labda wajuzi watakapokuja na kufungua code. Kwa sasa nawakumbusha tu kuwa mwisho wa kuchukua fomu ni leo....
View attachment 3391295
Na ule mgodi wa dhahabu lazima auteme. Na zile shilingi 20 za kila kilo oja ya korosho nazo zinaondoka.