Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
TAFADHALI usifananishe la Obama na hili unakosea na kupotoshaHata Obama kwenye awamu ya kwanza alitibua kidogo siku ya kuapa hadi akachekwa na mkewe aliyekuwa pembeni.
Ilitakiwa katiba ibadilishwe wapendekezwe na rais ila wapigwe drills bungeni au na kamati maalumu wakivuka vihunzi ndio rais awateue rasm na kula kiapo.Waziri siyo mtendaji bali anashughulika zaidi na sera sasa kama hawezi kuongea then he is unfit for the position.
Lakini si aliwahi kuapishwa kuwa Mkurugenzi wa Mji wa Ifakara? Mbona leo kashindwa? Uchunguzi wa kina ufanyikeFrancis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara....
Kushindwa kuongea ni kitu tofauti kabisa na kushindwa kusoma mistari michache. Huyu kashindwa kusoma hata baada ya kuachwa ajikusanye
Kama hawezi kucontrol emotions mbele ya camera, bora tu abakie na ubunge wake akakae benchi la nyuma kabisa
FUTUHIIIIIIII NDIO NI FUTUHI.Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara...
Nafasi nyingine anayo tayari cz atabaki na ubunge wakeHawezi kuongea kivipi? Huyu ambaye ameshika nyadhifa byingi kabla hata ya kugombea ubunge bila shaka alikutwa na maswahibu ya kisaikolojia yaliyomfanya atekewe na kushindwa kuzungumza. Rais angetafakari kumpa nafasi nyingine.
Hata Mh.Biteko huwa anajiumauma lakini maswali anajibu vizuri.Ameshindwa sasa! Si tumeona anasoma kama mwanafunzi wa darasa la pili. Sasa huko mbungeni angewezaje kujibu maswali ya nyongeza ya wabunge kama anajiumauma tuu!!
Upo sahihi. Nakumbuka waziri Chibulunje aliwahi kupatwa na hali kama iliyompata huyo ndugu wakati akijibu swali la mbunge bungeni. Spika Makinda alimwamuru akakae kwenye kiti chake baada ya kuona kuna walakini kwa waziri Chibulunje.Lakini si aliwahi kuapishwa kuwa Mkurugenzi wa Mji wa Ifakara? Mbona leo kashindwa? Uchunguzi wa kina ufanyike
Jamaa alipanic tu mzeeHatujui ni kwanini Rais alimteua (inawezekana Rais aliuziwa mbuzi kwenye gunia na wasaidizi wake), sasa baada ya kufungua gunia akakutana na kitu ambacho hakukitegemea, he was not impressived enough! Hivyo hata akimtumbua ni sawa tu.
Yote kwa yote, huyo jamaa huenda atarudishwa tena kwenye hiyo nafasi yake, jipe muda. Magufuli pale alikuwa anatafuta media attention tu, ni bingwa wa kutengeneza tatizo na kuja kulitatua.
Hilo linawezekana, maana kazungumzia hadi wasiwasi wa elimu yake kwa tukio lile tu wakati mwenyewe anajisifu kuwa wale wote aliyowateu amepitia mafile yao na amewachagua hizo nafasi kila mmoja kwa sifa maalumu. Yule mama kakosea kosea ila kamsifia.Alimteua kwa bahati mbaya sema hapo kaamua kumtoa kijanja