Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya jambo la haraka kumuondoa Naibu Waziri wa Madini, hakuna uhusiano wowote kati ya kuzungumza na kufanya kazi

Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya jambo la haraka kumuondoa Naibu Waziri wa Madini, hakuna uhusiano wowote kati ya kuzungumza na kufanya kazi

Kushindwa kuongea ni kitu tofauti kabisa na kushindwa kusoma mistari michache. Huyu kashindwa kusoma hata baada ya kuachwa ajikusanye

Kama hawezi kucontrol emotions mbele ya camera, bora tu abakie na ubunge wake akakae benchi la nyuma kabisa
 
Kushindwa kuongea ni kitu tofauti kabisa na kushindwa kusoma mistari michache. Huyu kashindwa kusoma hata baada ya kuachwa ajikusanye

Kama hawezi kucontrol emotions mbele ya camera, bora tu abakie na ubunge wake akakae benchi la nyuma kabisa

Kwenye siasa appearance ina uzito mkubwa kuliko.

Elsewhere kinacho matter ni ku-deliver tu.

Kwa bahati mbaya nchini kwetu kila kitu ni siasa na siasa ndio kila kitu.
 
Hawezi kuongea kivipi? Huyu ambaye ameshika nyadhifa byingi kabla hata ya kugombea ubunge bila shaka alikutwa na maswahibu ya kisaikolojia yaliyomfanya atekewe na kushindwa kuzungumza. Rais angetafakari kumpa nafasi nyingine.
Nafasi nyingine anayo tayari cz atabaki na ubunge wake
 
Ameshindwa sasa! Si tumeona anasoma kama mwanafunzi wa darasa la pili. Sasa huko mbungeni angewezaje kujibu maswali ya nyongeza ya wabunge kama anajiumauma tuu!!
Hata Mh.Biteko huwa anajiumauma lakini maswali anajibu vizuri.
Shida yake ilikuwa ndogo sana..ikiwa alikuwa DED Ifakara means maswali kwa Madiwani ...CAG,alikuwa anakumbuna nayo na kujibu tu.
 
Lakini si aliwahi kuapishwa kuwa Mkurugenzi wa Mji wa Ifakara? Mbona leo kashindwa? Uchunguzi wa kina ufanyike
Upo sahihi. Nakumbuka waziri Chibulunje aliwahi kupatwa na hali kama iliyompata huyo ndugu wakati akijibu swali la mbunge bungeni. Spika Makinda alimwamuru akakae kwenye kiti chake baada ya kuona kuna walakini kwa waziri Chibulunje.

Rais ali-overreact na kuchukua maamuzi yasiyo sahihi.
 
Hatujui ni kwanini Rais alimteua (inawezekana Rais aliuziwa mbuzi kwenye gunia na wasaidizi wake), sasa baada ya kufungua gunia akakutana na kitu ambacho hakukitegemea, he was not impressived enough! Hivyo hata akimtumbua ni sawa tu.

Yote kwa yote, huyo jamaa huenda atarudishwa tena kwenye hiyo nafasi yake, jipe muda. Magufuli pale alikuwa anatafuta media attention tu, ni bingwa wa kutengeneza tatizo na kuja kulitatua.
Jamaa alipanic tu mzee
walipaswa kumsaidia Jamaa ana public speaking anxiety glossophobia inampata yeyote.
 
Binaadam tupo tofauti sana, kuna wenye uwezo wa kuzungumza mbele za watu na wasio na uwezo wa kuzungumza mbele za watu.

Huyo naibu wazili atakuwepo kwenye hizi case mbili introvert na extrovert mh rais wa heshima umefanya maamuzi ya haraka kufanya kazi na kuongea ni vitu visivyoshabiiana wala kua kisi uwalisia wa mtu.
 
Naibu ndiye anajibu maswali bungeni kwa niaba ya wizara, UNATAKA WIZARA HUSIK awe anajibu nani?
 
Alimteua kwa bahati mbaya sema hapo kaamua kumtoa kijanja
Hilo linawezekana, maana kazungumzia hadi wasiwasi wa elimu yake kwa tukio lile tu wakati mwenyewe anajisifu kuwa wale wote aliyowateu amepitia mafile yao na amewachagua hizo nafasi kila mmoja kwa sifa maalumu. Yule mama kakosea kosea ila kamsifia.
 
Ukiangalia clip yake jamaa alienda vizuri tu hadi mwisho, kabla ya kumalizia ile 'ee Mungu nisaidie' nafikiri ndo wakamwambia arudie. Niliona hawakuwa na uvumilivu wa kumwacha amalizie kiapo chake, labda walikuwa wamepanga kumpiga chini kwa sababu kuna yule mwingine alirudia mara nne.
 
Back
Top Bottom