Deodat
JF-Expert Member
- Sep 18, 2008
- 1,274
- 274
Eti?????
Halafu usiku wa jana nimekuota Dena Amsi! ndoto ilikuwa nzuri sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti?????
Wanaoana ili wapeane matangazo kama hili:Wakuu ningependa kufahamu kwa nini watu wanaoana? Naomba nipewe majibu kwa kila mtu anavyoona swala hili.
Wakuu ningependa kufahamu kwa nini watu wanaoana? Naomba nipewe majibu kwa kila mtu anavyoona swala hili.
Wewe ni mzee? Fabulous!!because no one wants kuzeeka akiwa mpweke.....!
kuanzisha familia,ambayo ni kama investment ya kuja kukutunza ukiwa mzee..lol:coffee::laugh::laugh:
Wanaoana ili wapeane matangazo kama hili:
Charles ni mshauri wa biashara na Mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara
Kwa ushauri tembelea blogu yangu Mshauri wa biashara Charles
ndoa ni mila na desturi zilizopitwa na wakati......mambo ya kuoana yamepitwa na wakati.
Je, nikweli unauliza au unapenda kupata watu wanachangia nini? unakumbuka hukuambiwa watoto wanazaliwa ila wananunuliwa sokoni? je bado unaamini wananunuliwa? kwanini watu wanaoa/olewa niswali au nikivumishi? just ask you soul, why? au ndugu yetu ni mtoto si riziki, khy hujui hata nafsi yako haioni?Wakuu ningependa kufahamu kwa nini watu wanaoana? Naomba nipewe majibu kwa kila mtu anavyoona swala hili.
Wakuu ningependa kufahamu kwa nini watu wanaoana? Naomba nipewe majibu kwa kila mtu anavyoona swala hili.