Kwani lazima kuoana?

Kwani lazima kuoana?

Wakuu ningependa kufahamu kwa nini watu wanaoana? Naomba nipewe majibu kwa kila mtu anavyoona swala hili.

babalao.watu wanaoana kwasababu moja kuu, ambayo ni sababu ya kuoana,sababu hiyo inapokwisha watu huaachana.Na wengine wanatengana kabisa na wengine kufikia hatua ya kuuana.
 
no-divorce1.jpg
 
Wakuu ningependa kufahamu kwa nini watu wanaoana? Naomba nipewe majibu kwa kila mtu anavyoona swala hili.
Je, nikweli unauliza au unapenda kupata watu wanachangia nini? unakumbuka hukuambiwa watoto wanazaliwa ila wananunuliwa sokoni? je bado unaamini wananunuliwa? kwanini watu wanaoa/olewa niswali au nikivumishi? just ask you soul, why? au ndugu yetu ni mtoto si riziki, khy hujui hata nafsi yako haioni?
i'm sory is not a question but, is an ambiguious statement ,jibu laharaka
ungezaliwa:msela:
 
Ni kupata utulivu wa nafsi basically kutokana na unyumba halali..mengine ni mawadda,rahma(kuoneana huruma),mahabba,kujaliana,kusaidiana,kuunganisha familia..kuleta heshima katika jamii..pia na kuendeleza kizazi.

Hayo ni mambo muhimu sana kwa binadamu psychologically and as a soul entity

Kubwa kabisa ni unyumba wa halali ambao ni reliable...~ unaona bwana.
 
Mafundisho ya dini. Kama hujaoa na unadosoa jua unafanya zinaa...
 
Tusidanganyane wana JF. watu wanaoana Ili kupeana ngono ndilo jambo la kwanza mengine huwa yanafuata.
 
Asanteni kwa majibu yenu kwa upande wangu watu wanaoana kwa kufuata nature. Binadamu huwa anazaliwa akiwa hana uwezo wa kufanya kitu tofauti na wanyama ambao akizaliwa anaanza kukimbia. Hivyo tunaoana kutengeneza familia kulea watoto. Ngono imewekwa ili kuwafanya waliooana kuwa karibu zaidi walipooana tofauti na wanyama ambapo wanakutana wakiwa kwenye heat.
 
Wakuu ningependa kufahamu kwa nini watu wanaoana? Naomba nipewe majibu kwa kila mtu anavyoona swala hili.

You get married in order to supplement each others' needs including sex. In other words, male or female can not stand whatsover on his/her own. He/she must have a partner of different sex.
 
Ni amri ya Mungu.
happy-Couples1.jpg

Kwa sababu kila binadamu anahaki ya kufanya mapenzi, lakini lazima uoe/olewa ndipo ufanye( nje ya hapo ni mwiko).
beachweddingkiss.png

Mungu aliumba Adamu, akakuta adamu hajakamilika, hana furaha, mpweke, akamfanyia mzsaidizi wake.
YoungHappyCouple.jpg

umeelewa mkuu.
 
Watu wanaoana kwa sababu wanakuwa wamekubaliana kufanya hivyo. NDOA ni makubaliano ya hiari....SI LAZIMA...
 
Back
Top Bottom