Kwani Makonda alitenda dhambi ngapi? Mbona anataka kuombewa na kila mtu?

Sini ilitumika kama hadaa toka mkoloni anajiandaa kutukalia. Itaendelea kutumika kwa hadaa na watu wanaotafuta public sympathy!

Tukumbushane! Wakati wa mambo ya bandari - viongozi wa dini waliambiwa siasa na siasa zisichanganywe! Leo ni hao viongozi wa dini wakitumika kuombea shughuli za wanasiasa!! Ni viongozi hao huitwa kwenye hafla za kisiasa na kiserikali!!
 
Noma sana !
 
yaani kuombewa kwa mtu nako kunakuuma ndugu dah!!!

Mbona hii chuki inaenda mbali sana..

Na hiyo ni mambo ya Mungu na Mungu ni wa wote....

Wewe kama umeamua kutafuta pesa na porojo za siasa si ufanye bidii zaidi ufanikiwe..

Wengine wakiamua kumtafuta Neema na Baraka za Mungu au mambo mengine wew inakuhusu nini au kusumbua nini?
 
Vipi walio kwenda hija mtu na dakitari wake walifanya dhambi gani?
 
Huyo taariha! Anajidai mtoa hukumu!
Hawa CHADEMA wanajidaigi watakatifu mara Mungu fundi!
Sasa wakimuona Makonda anatrend roho inawauma!
 
Umesahau na hii
 
Naona Makonda kawasahaurisha maswala ya bandari na katiba mpya

Well and good
 
Huyo taariha! Anajidai mtoa hukumu!
Hawa CHADEMA wanajidaigi watakatifu mara Mungu fundi!
Sasa wakimuona Makonda anatrend roho inawauma!
Huyo taariha! Anajidai mtoa hukumu!
Hawa CHADEMA wanajidaigi watakatifu mara Mungu fundi!
Sasa wakimuona Makonda anatrend roho inawauma!
Yaani wamesahau kabisa kwamba siasa ni science na ni taaluma vilevile....

kulalamika, kuzira au kuchukia washindani wao hakubadili chochote kwa wanaofanya siasa za malengo. Na hawa wasipojipanga tutawapanga vizuri sana...
 
Tambua makonda hajatembelea mtumishi was Mungu hata mmoja Hadi sasa zaidi ya watumishi was serikali wa siri kama hao!!!

Guility ya yaliyomjaa moyoni ndio inayomtafuna akijitahidi kujisafisha kwenye jamii!

Hata hivyo yupo kwenye mission aliyotumwa na kitengo!!

We huoni impact yake inaanza ku shape chama na mabadiliko kwenye serikali!!?
 
Ila chadema aliyemleta Makonda amewaweza kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…