Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Walisema Sukuma gang mnaumia[emoji1787]Walikua wanasema mama anaupiga mwingi[emoji23][emoji23]. Siku hizi sijui mpira umetoboka ama umepasuka, sisikii tena habari za kuupiga mwingi, ama ni half time?
Halafu mbona hawajaingia mtaani kuandamana kupinga kufungwa kwa mungu wao?Mimi walikuwa wananiboa,
Kila atakayeongea wanampachika jina ooh Sukuma gang,sijui mataga,sijui buku Saba..
Ujinga tu.
Wakaenda mbele zaidi kushangilia msiba,kwa kitendo hiki niliwaona mashetani mno .
Ngoja nao Sasa waendelee kuimba ngonjera.
Mitano tena kwa mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi natamani waingie barabarani[emoji1787]Halafu mbona hawajaingia mtaani kuandamana kupinga kufungwa kwa mungu wao?
Badala yake wanaandamana kwenye Twitter Space ya Maria [emoji1787].
Kila siku wanakutana huko kulalamika!
Mimi nadhani Mungu ana mambo makubwa ya kuangalia kama vile gravitational force na sio haya madogo madogo ambayo binadamu anaweza kuyamaliza mwenyewe!Manung'uniko na ubambakiaji wa kesi vyote hivi vikizidi hasira ya Mungu itawaka, kuna mambo huwa nayafukiria sipati jibu hadi leo 😔
Hivi kuna kubwa zaidi ya lile la kushangilia msiba?Manung'uniko na ubambakiaji wa kesi vyote hivi vikizidi hasira ya Mungu itawaka, kuna mambo huwa nayafukiria sipati jibu hadi leo [emoji17]
Kwamba MATAGA na sukuma gang walishawahi kumpa Rwakatare na Mashehe wa Uamsho kesi kama ya Mbowe! Inaonekana hawa MATAGA na sukuma gang wamekuwa serikalini kwa muda mrefu!Asante mungu kwa kutuondolea kichaa dhalimu, wafuasi wake wanajifariji kwa kumbambikia shujaa mbowe kesi ya ugaidi,
Waliwahi fanya hivi kwa rwakakatare, mashehe wa uamsho wakashindwa,
Watashindwa tu
Absolutely!The future is unpredictable, very unpredictable.
Huu mchezo ni mgeni, Ila kwa haraka haraka SSH ni kiongozi mkuu wa serikali na chama chake,hivyo maamuzi ya chama chake hayakosi.Mimi nimebaki ninaungalia huu mchezo wa kisiasa mpaka mwisho!
Yaani nikikumbuka maneno hayo nabaki kushangaa huku nikiuangalia huu mchezo wa sasa mpaka mwisho wake!Walisema Sukuma gang mnaumia[emoji1787]
Eti Magu ameshakufa.
Sasa wapo wananena kwa lugha zote[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa wanatuambia kumi tena kwa Rais Samia na ukichukia nenda Chato!Mimi walikuwa wananiboa,
Kila atakayeongea wanampachika jina ooh Sukuma gang,sijui mataga,sijui buku Saba..
Ujinga tu.
Wakaenda mbele zaidi kushangilia msiba,kwa kitendo hiki niliwaona mashetani mno .
Ngoja nao Sasa waendelee kuimba ngonjera.
Mitano tena kwa mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wazee wa kubadili gia angani.Yaani nikikumbuka maneno hayo nabaki kushangaa huku nikiuangalia huu mchezo wa sasa mpaka mwisho wake!
Sasa hivi tumpe 20 kabisa.Walikuwa wanatuambia kumi tena kwa Rais Samia na ukichukia nenda Chato!
Hii nchi ina vituko!
Ushauri huu uwekewe LaminationUnapepesa macho kiongozi sema wazi kabisa aliyekua anaongoza kuwazodoa hao sukuma gang ni bwana Mbowe, yaani huko aliko kwa kuwa ni gaidi itafaa sana awe analala na minyororo miguuni na mikononi gaidi ni hatari sana. Wawe wanamuamsha na viboko kila asubuhi.
Maana yake hamna imani na uongozi wa SamiaMkuu, kwa hilo hauko peke yako, tuko wengi na hatutorudi nyuma. Hata tukikosa mengine yote, basi tutamuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli kwa kusimamia ujasiri aliotufundisha na kujiamini kuwa tunaweza.
Rest in peace uncle Magu, till we meet again [emoji1548]
[emoji23][emoji23][emoji23]Eti sukuma gang!Nasema hivi, hata huyu mama aige udhalimu wa jiwe, bado dhalimu alikuwa dhalimu tu. Hatuhitaji mama wa kambo atufanyie wema wowote, huo wema awafanyie nyie sukuma Gang ndio mnapenda shushu, lakini katiba mpya lazima na sio ombi.
...kwamba nendeni Chato kwa Mungu wenu...Mungu wenu ameshakufa...mama ameponya majeraha...furaha imerejea...futa legasi...Sabaya tupa ndani...sasa Leo ni kilio kwao. Katekenywa kidogo tu mwenyekiti wa Maisha wa saccos... kelele kama nchi inafutikaWalisema Sukuma gang mnaumia[emoji1787]
Eti Magu ameshakufa.
Sasa wapo wananena kwa lugha zote[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Eti wanajisifu mkutano wa watu elfu 6 kwenye apace ya mariaHalafu mbona hawajaingia mtaani kuandamana kupinga kufungwa kwa mungu wao?
Badala yake wanaandamana kwenye Twitter Space ya Maria [emoji1787].
Kila siku wanakutana huko kulalamika!