Kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''sukuma gang''; Je, kwa sasa ni zamu ya waliokuwa wanafurahia na kufanya sherehe!

Kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''sukuma gang''; Je, kwa sasa ni zamu ya waliokuwa wanafurahia na kufanya sherehe!

Mimi walikuwa wananiboa,
Kila atakayeongea wanampachika jina ooh Sukuma gang,sijui mataga,sijui buku Saba..
Ujinga tu.

Wakaenda mbele zaidi kushangilia msiba,kwa kitendo hiki niliwaona mashetani mno .


Ngoja nao Sasa waendelee kuimba ngonjera.
Mitano tena kwa mama.
 
Mimi walikuwa wananiboa,
Kila atakayeongea wanampachika jina ooh Sukuma gang,sijui mataga,sijui buku Saba..
Ujinga tu.

Wakaenda mbele zaidi kushangilia msiba,kwa kitendo hiki niliwaona mashetani mno .


Ngoja nao Sasa waendelee kuimba ngonjera.
Mitano tena kwa mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mbona hawajaingia mtaani kuandamana kupinga kufungwa kwa mungu wao?

Badala yake wanaandamana kwenye Twitter Space ya Maria 🤣.

Kila siku wanakutana huko kulalamika!
 
Halafu mbona hawajaingia mtaani kuandamana kupinga kufungwa kwa mungu wao?

Badala yake wanaandamana kwenye Twitter Space ya Maria [emoji1787].

Kila siku wanakutana huko kulalamika!
Mimi natamani waingie barabarani[emoji1787]
Nitakaa na popcorn zangu kushuhudia yanayotokea.

Yalishangilia sana msiba ,,Mimi niliwashusha vyeo vyote tangu zile siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manung'uniko na ubambakiaji wa kesi vyote hivi vikizidi hasira ya Mungu itawaka, kuna mambo huwa nayafukiria sipati jibu hadi leo 😔
Mimi nadhani Mungu ana mambo makubwa ya kuangalia kama vile gravitational force na sio haya madogo madogo ambayo binadamu anaweza kuyamaliza mwenyewe!
 
Asante mungu kwa kutuondolea kichaa dhalimu, wafuasi wake wanajifariji kwa kumbambikia shujaa mbowe kesi ya ugaidi,
Waliwahi fanya hivi kwa rwakakatare, mashehe wa uamsho wakashindwa,
Watashindwa tu
Kwamba MATAGA na sukuma gang walishawahi kumpa Rwakatare na Mashehe wa Uamsho kesi kama ya Mbowe! Inaonekana hawa MATAGA na sukuma gang wamekuwa serikalini kwa muda mrefu!
 
Mimi nimebaki ninaungalia huu mchezo wa kisiasa mpaka mwisho!
Huu mchezo ni mgeni, Ila kwa haraka haraka SSH ni kiongozi mkuu wa serikali na chama chake,hivyo maamuzi ya chama chake hayakosi.
Lakini japo alileta matumaini ya mabadiliko ya kufuata utawala wa sheria kwa kuzingatia demokrasia lakini alionya kuwa huu siwakati wa kutafuta mbio za uraisi, lakini pia tumpe muda wa kuandaa mchakato wa katiba mpya.Akidai kwanza aboreshe uchumi wa nchi ulioanguka kutokana na Covid-19
Lakini aliwapa baraza la mawaziri miezi 6 kupima Key performance indicator kama wanafaa au hawafai.
Pia kigeni zaidi ni Mwanamke wa kwanza kuwa Raisi wa JMT,pia hakuchaguliwa bali ameukwaa kutokana na kifo cha mtangulizi wake.
Labda katika miezi 9 ijayo labda tutakuwa tumeelewa mwelekeo na matarajio ya Raisi SSH.
 
Mimi walikuwa wananiboa,
Kila atakayeongea wanampachika jina ooh Sukuma gang,sijui mataga,sijui buku Saba..
Ujinga tu.

Wakaenda mbele zaidi kushangilia msiba,kwa kitendo hiki niliwaona mashetani mno .


Ngoja nao Sasa waendelee kuimba ngonjera.
Mitano tena kwa mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa wanatuambia kumi tena kwa Rais Samia na ukichukia nenda Chato!

Hii nchi ina vituko!
 
Unapepesa macho kiongozi sema wazi kabisa aliyekua anaongoza kuwazodoa hao sukuma gang ni bwana Mbowe, yaani huko aliko kwa kuwa ni gaidi itafaa sana awe analala na minyororo miguuni na mikononi gaidi ni hatari sana. Wawe wanamuamsha na viboko kila asubuhi.
Ushauri huu uwekewe Lamination
 
Mkuu, kwa hilo hauko peke yako, tuko wengi na hatutorudi nyuma. Hata tukikosa mengine yote, basi tutamuenzi Hayati Rais John Pombe Magufuli kwa kusimamia ujasiri aliotufundisha na kujiamini kuwa tunaweza.
Rest in peace uncle Magu, till we meet again [emoji1548]
Maana yake hamna imani na uongozi wa Samia

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Nasema hivi, hata huyu mama aige udhalimu wa jiwe, bado dhalimu alikuwa dhalimu tu. Hatuhitaji mama wa kambo atufanyie wema wowote, huo wema awafanyie nyie sukuma Gang ndio mnapenda shushu, lakini katiba mpya lazima na sio ombi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Eti sukuma gang!

Nlikuwa nawashangaa sana mnapodemka eti sasa mnapumua baada ya dhalimu wenu kuondoka!

Wenye akili tulikuwa tunawacheka zaidi maana tulijua huo ni mfumo ambao umeuongoza nchi toka enzi za Nyerere!

Kwa hiyo mnaanza lini maombi ili mungu wako amuondoe na huyu tena?

Unaonaje lakini mama anavyowakomesha mataga na sukuma gang na kufuta legacy?
 
Walisema Sukuma gang mnaumia[emoji1787]
Eti Magu ameshakufa.


Sasa wapo wananena kwa lugha zote[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
...kwamba nendeni Chato kwa Mungu wenu...Mungu wenu ameshakufa...mama ameponya majeraha...furaha imerejea...futa legasi...Sabaya tupa ndani...sasa Leo ni kilio kwao. Katekenywa kidogo tu mwenyekiti wa Maisha wa saccos... kelele kama nchi inafutika
 
Sukuma gang, mie nilikuwa mmoja wa watu waliowashambulia sana na kumsifia sana mama SSH.
Lakini hii ya kuanza kuwashtaki watu kuwa ni magaidi imenifanya nitafakari na kuanza kurudi nyuma!
Anachotakiwa kufahamu ni kuwa magaidi wapo ndani ya chama chake ccm na anaishi nao. Time will tell.
 
Halafu mbona hawajaingia mtaani kuandamana kupinga kufungwa kwa mungu wao?

Badala yake wanaandamana kwenye Twitter Space ya Maria [emoji1787].

Kila siku wanakutana huko kulalamika!
[emoji23][emoji23][emoji23]Eti wanajisifu mkutano wa watu elfu 6 kwenye apace ya maria
 
Back
Top Bottom