Kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''sukuma gang''; Je, kwa sasa ni zamu ya waliokuwa wanafurahia na kufanya sherehe!

Tuliokuwa tunaitwa MATAGA na Sukuma gang tuliambiwa kwa sasa ''mama'' analeta furaha kwa Watanzania!
Jamaa vigeugeu sana hao, tangu waanze kumsafisha Lowasa 2015, wamekwishapoteana hao, mama kazia hapohapo
 
Jina la ''Sukuma gang'' linayeyuka haraka kama barafu kwenye moto mkali!
 
Hii ni awamu ya sita.

Tuiache itimize majukumu yake kwa amani kama wanavyoongozwa na Ilani ya CCM.

Mbona Friends of Lowassa walikubali yaishe Laigwan alipokatwa?

Team mwendazake tuwe waungwana!
 
 
Hilo neno Sukuma gang ni la kibaguzi na halifai .. Moderator sijui kwa nini wanaruhusu hili
 
Waueni Sukuma gang Ili muibe KWA amani KWA Sasa,Mimi naamini kama hao wanaoitwa Sukuma gang wangekua wezi na KWA sifa za team Msoga Basi huenda mpaka Sasa wangekua jela,ila Sasa kila mkitafuta hata KWA tochi hamuoni huo wizi.


Lakini pia mbona tumeelewa ni mwendazake ndo alileta Tozo,vifurushi KUPANDA,bidhaa KUPANDA kila kona,nchi gizani,Dawasco na mgao plus kuwaachia mafisadi TOKA jela waje waendeleze ufisadi.

In short tu chunguzeni hata Maisha ya kawaida makabila yenye tuhuma za wizi,uchapakazi,uvivu na ujinga ulotamalaki.


Kamwe siwezi tegemea maendeleo TOKA KWA makabila ya pwani/ZNZ wala siwezi Acha kuongea wachaga gang kwa asilimia kubwa ni watu wamesoma lakini wanamkono wa udokozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…