Jamaa vigeugeu sana hao, tangu waanze kumsafisha Lowasa 2015, wamekwishapoteana hao, mama kazia hapohapoTuliokuwa tunaitwa MATAGA na Sukuma gang tuliambiwa kwa sasa ''mama'' analeta furaha kwa Watanzania!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa vigeugeu sana hao, tangu waanze kumsafisha Lowasa 2015, wamekwishapoteana hao, mama kazia hapohapoTuliokuwa tunaitwa MATAGA na Sukuma gang tuliambiwa kwa sasa ''mama'' analeta furaha kwa Watanzania!
Jina la ''Sukuma gang'' linayeyuka haraka kama barafu kwenye moto mkali!Daah siasa za bongo ni hatari...
Kuna watu walijipa utaalamu wa siasa humu, huku hawajui lelote kuhusu siasa
Naamini kuna kitu wamejifunza,sisi yetu macho
NB: natamani hili jina la sukuma gang waendelee kulitaja hadi 2025, waje tuwaoneshe nguvu yake.
Muda hutoa jibu sahihi! Muda utatupa jibu sahihi!Kama walimmisi JK ambaye walimtukana sana naamini hata hayati JPM watammisi sana
Nimekereka mnoILA CHELSEA MUNGU ANAWAONA
Niliwapa ushindi washinde ila wanajua wenyewe walichokifanya!Nimekereka mno
Poleni CCMHii ni awamu ya sita.
Tuiache itimize majukumu yake kwa amani kama wanavyoongozwa na Ilani ya CCM.
Mbona Friends of Lowassa walikubali yaishe Laigwan alipokatwa?
Team mwendazake tuwe waungwana!
Hii ni awamu ya sita.
Tuiache itimize majukumu yake kwa amani kama wanavyoongozwa na Ilani ya CCM.
Mbona Friends of Lowassa walikubali yaishe Laigwan alipokatwa?
Team mwendazake tuwe waungwana!
[/QUOTE.
Washauri wenzio wakubali yeishwee, mchezo wa kuangushiana jumba bovu watichelewesha.
Mnataka muwaingize mtegoni muwawekee sumu?Hii ni awamu ya sita.
Tuiache itimize majukumu yake kwa amani kama wanavyoongozwa na Ilani ya CCM.
Mbona Friends of Lowassa walikubali yaishe Laigwan alipokatwa?
Team mwendazake tuwe waungwana!
Wazungu walizima betri yao kwenye data base yao Ujerumani umeme ukakatika Chato.Kizembe Tu hvyo...Kwa nn walitoa roho ya mtu
Ona Lisukuma gang lingine hili, hopeless kabisa.Hilo neno Sukuma gang ni la kibaguzi na halifai .. Moderator sijui kwa nini wanaruhusu hili