Kwani ''Mama'' amemalizana na sisi tuliokuwa tunaitwa ''sukuma gang''; Je, kwa sasa ni zamu ya waliokuwa wanafurahia na kufanya sherehe!

Wewe ni mpumbavu wachaga wameingiaje kwenye andiko lako...komaa wewe kama wewe..hivi kweli msukuma unaweza ukajiringanisha na wachaga...kwa ishu ya kiuchumi.kiuchawi na kiserikali?
 
Wewe ni mpumbavu wachaga wameingiaje kwenye andiko lako...komaa wewe kama wewe..hivi kweli msukuma unaweza ukajiringanisha na wachaga...kwa ishu ya kiuchumi.kiuchawi na kiserikali?
Wachaga gang ni wezi nchi hii Tangu upate Uhuru,si serikalini si mtaani.

So usilete utetezi wa uchaga wako hapa.Nyi ni wezi tu
 
Kiturilo bado anaipambania legasi!
 
Ona Lisukuma gang lingine hili, hopeless kabisa.
Mimi sio Msukuma ndugu, mimi Mchaga tena Wasukuma wengi wanawashambulia sana Wachaga kwa kigezo kuwa Wachaga walimchukia Magufuli,
ila ni ushamba, siwezi kushambulia Wasukuma au kabila lolote lile kwa sababu za siasa
sio muumini wa siasa za kikabila
 
Mkuu mtumishi wa Mungu johnthebaptist , kinachoutesa utawala huu ni Kama kilichoitesa Chadema baada ya kuondoka kwa Dr Slaa. Tatizo ni viatu kuwa vikubwa. Watu wanafanya comparison. Suala la Tozo, mgao wa maji na umeme, suala la bandari ya bagamoyo ni baadhi ya mambo yaliyoipunguzia ushawishi serikali ya Sasa. Hayo mengine sijui ya hujuma za Sukuma gang ni harakat za kumtafuta wa kumfunga paka kengele.
 
Huu ndo ukweli mengine porojo.
 
Bandari tu ya Dar ipo mikononi mwake Hangaya,inamutoa jasho vipi Bandari ya Bagamoyo chini ya mchina?
Bomoabomoa ya machinga alileta Mwendazake πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Wewe ni mpumbavu wachaga wameingiaje kwenye andiko lako...komaa wewe kama wewe..hivi kweli msukuma unaweza ukajiringanisha na wachaga...kwa ishu ya kiuchumi.kiuchawi na kiserikali?
Shemeji acha mapovu! Nitamwache dada yako!
 
Sukuma Gang simameni imara wala msitikisike...
 
Yeye ni mama na wao ni vijana...

Wakimzingua atawazingua...
 
Je wanataka kumpindua Raisi na serikali yake kwa njia za Panya ? Sasa imekuwa si aibu wala siri hili genge linatajwa kila kona na linahusisha viongozi waandamizi ndani ya Chama Cha CCM.

Zinaweza kuwepo njia nyingi za kuipindua Serikali,zile za kizamani huwa hazina nguvu tena,ila hizi za kisasa ambazo tunaziona ni kuidhoofisha Serikali na kuifanya iwe hoi bin taabani ,kwa kuonekana kila inapoziba ufa kunatobolewa kwengine,tunasema kuisaboteji serikali,aidha kwa kutumia walio ndani ya serikali na hata walio inje ya serikali.

Ukienda Bungeni hali si shwari,ukiangalia polisi mambo varange ukiingia serikalini kila mmoja na kauli yake,kuna netiwaki hazipo sawa na zinavuruga kiaina kwa kutumia vichocheo vya hali ya uchumi na kuviza maendeleo.

Tunasikia kuna makundi ndani ya CCM na kila mmoja lina King Chawa wake ambae akiutwaa uRaisi mambo yatakuwa poa,Hivyo mapinduzi ya kileo hufanyika katika kumpata Mgombea Uraisi,mapinduzi daima ni kuwekwa kando Samia,kwa shinikizo kazi imemshinda,si mpiganaji na sababu lukuki na makubaliano kufikiwa kuwa asimamishwe mgombea mwingine,haya yaliyopo sasa ni mapigano ya kumzorotesha Samia ili achoke na atupilie mbali kutaka kugombea,ajiengue kabla ya kuenguliwa katika kikao ,ya kwamba wakiingia kwenye kikao basi tayari kazi imekuwa rahisi.

Haya makundi yachunguzwe na mmoja mmoja kukamatwa na kuwekwa mahabusu huku uchunguzi ukiendelea ,Mwalimu Nyerere alisema tusimuonee haya mtu,hawa ni wazembe wanayoiua nchi kwa kutaka kujenga himaya yao,kwanza kujiita au kuwepo kitu Sukuma gang huu ni zaidi ya ugaidi ni uhaini ni kuigawa nchi kwa misingi ya ukabila ,kesho na kesho kutwa kutakuwepo na Makuwa gang .
wakamatwe na kufunguliwa mashitaka.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bila shaka ww ni zenji gang !
 
Wakuu wa vyombo vya usalama wote ni kuondoa maana ni lile genge la Mwendazake.

Mama alifanya mistake kubwa sana kuwabakiza
 
kama kuna Stupid ni wewe....

Wasukuma ni 25% ya Watanzania.... kama unatafuta civil war, utaipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…