Kwani mkiachana lazima muwe maadui?

Nafikiri umeongea kwasababu ya ubinafsi zaidi..yan unampaka nafuta kwa mgongo wa chupa

Hapana, hujaelewa maandishi niliyoandika....

Binafsi sipendi ugomvi kugombana kukwaruzana hata kubwatukiana sipendi....
Nimekukera niite niambie Kasinde umezingua na umenikera na umeniboa...
Nami ukizingua nakuita nakwambia kistaarabu umeharibu na nimechukia....

Napenda amani, hata kama nimechukia napenda kumaliza tofauti kwa amani, kisa cha alubati kimenifikirisha namna dunia ingekuwa wanaume wangeishi namna hiyo....

Kikubwa amani ya moyo, ikifika mahala mwanamke/mwanaume amekusaliti kama huwezi kukubali basi utulie uvumilie uwe bwegez uishi kibishi.

Ama laah unaanza upya unaendelea na maisha yako vile unapenda/unataka.

Simsifii mtu, nimeukubali utashi alioutumia, kuna mambo mengine hayahitaji nguvu, akili tuu mtu wangu.
 
Shetani, mbwa, chatu, cobra hawanaga urafiki wa damu hawq viumbe, haipogo nikipiga chini ndio basi imeisha hio
 
Wachache sana sana watu wa hivi, wakiwepo wanakuwa wamepata mentorship kubwa ama wazazi, Bibi , babu, na wachungaji, Mashehe, na experience.
 
Inawezekana sana kama jogoo hapandi mtungi. Ila kwahili linaloendelea kwenu ni swala la muda tu mtapigana miti na kurudiana.
 
Na wapo wa kurithi ni genetic kabisa anakuwa kama baba, mama, Bibi, babu hawa hadi raha hawahitaji training

Sanaa, mimi ni inborn mtu wa amani....
Kwenye ugomvi hunipati, hunishawishi, hunichonganishi...

Akili yangu tangu mdogo ilikuwa inawaza namna ya kuepa kugombezwa, kugomba, kupigwa, kupigana, kugombeza, kupiga etc.

Smiling Always 😊.
 
Ni huruka yao,akipata mahusiano nje au akiona alichokifata hakioni lazima vituko vifate Ni kupata akili ya kuishi nao vinginevyo watoto Ndo wanapata shida badae.Ndoa Ni tatizo kubwa kwa nchi zetu za Afrika.Wengi wnawakomoa Sana wanaume baada ya hamsini kwa hamsini kuwa fashion na Ndo inasababisha haya yote.
 
Kwani ni kosa ndugu kuhusika. Kwa nini uliwahadithia ndugu kama haiwahusu?
 
Mnayafanya hayo kuwa kuwa mmoja wenu hajaoa au kuolewa, subiri vita ya tatu ya dunia inakuijia muda si mrefu ndo utajua mnaishi kama marafiki au mnaishi kinafiki, huwajui wanawake vizuri wewe!
 
Big up kwa Le mutuz
Yule big sitoacha kumpa maua yake

Hayo mambo yakienda kisheria utakuwa mtumwa wa mke ila kibongo bado japo ndipo tunaelekea

X sijawahi achana nae kushari kipolo lazima tu kipashwe
 
Kwani ni kosa ndugu kuhusika. Kwa nini uliwahadithia ndugu kama haiwahusu?
na kwa nini uwahadhithie ndugu masuala yako na mkeo, na kama utawahadithia kwa nini usiweke mpaka wasikuingilie wakapitiliza? Kwa sababu unapaswa kujua kuwa huyo mnayeachana naye kama mmeshakuwa na watoto, lazima maisha yenu yote utawasiliana naye kwa njia moja au nyingine na si ajabu mkizeeka watoto wanaweza wakawakusanya kuwatunza. baba ukakaa kwa mtoto mmoja mama kwa mwingine.

Na hata hatma ya watoto baada ya kuachana haitakuwa juu ya ndugu zenu, itakuwa juu yenu ninyi wawili. Ni lazima ujue kufunga milango ndugu wasiwavuruge zaidi.
 
Inategemea mmeachana vipi kuna namna mkiachana hamuwezi rudiana abadan kuna wanawake wana dharau sana.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Historia....! Unakuta mtu pamoja na baya lake moja mbili au tatu...Ana mazuri mengi pia,dunia tutapita tu kwahiyo mambo mengine unachukulia poa tu maisha yanakwenda.
Very bold.
Kuna mtu anakutendea baya moja na linakuudhi au kukuweka chini, lakini deep inside ana mengi mazuri alikufanyia na kukuweka high up there . Ni bora kyangalua mengi mazuri kuliko baya moja no matter how huge is .
You win some loose some game na duniani tunakaa muda mfupi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…