Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

Joined
Jul 8, 2022
Posts
76
Reaction score
134
Hello, ladies and gentlemen wa jamii forum , Kama uzi unavojielezea hapo juu . Nina live example . Mimi ni mwanafunzi wa sheria, Jumatatu nilipeleka barua ya field katika mahakama ya wilaya X hawakuipokea wakaniambia nafasi zimejaa katafute sehemu zingine na kunirudishia barua yangu .. nikasema isewe case acha niende nyumbani nikafikirie sehemu nyingine. Basi Jana Nikapata wazo nikaenda prosecution ya wiłaya x .. wakaipokea na Nikaacha details zangu watani notify ….. Ila swali langu ni hili kwanini wanafunzi wa field wanaogopwa na Kama huna mdhamini Basi Huwezi ukapata field ? … hichi kitu kina discourage Sanaa na nilichukia mnoo maana aliepelekwa the same place na ndugu yake ambae ni police kapata .. Mimi nilienda kivyangu nimekosa 🥱 .. au ni kisirani
 
Mambo ya connection ni tabia za kibinafsi sanaaa 🥱
 
Back
Top Bottom