Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

Msomi mzima umeshindwa hata kuandika vizuri kwa paragraphs? Hiyo field unayoililia utaiweza kweli?

Huko chuo mnaenda kusomea ujinga? Cc😡FaizaFoxy

Sent using Jamii Forums mobile ap
Msomi mzima umeshindwa hata kuandika vizuri kwa paragraphs? Hiyo field unayoililia utaiweza kweli?

Huko chuo mnaenda kusomea ujinga? Cc😡FaizaFoxy

Sent using Jamii Forums mobile app
Informal language bro.. unataka Nitumie modality ya kiofisi Ili iweje. Hapa n mtandaoni tu kikubwa umeelewa nilichosema
 
Hayo si mambo ya kijinga, huo ni mfumo wa kibepari. Jikaze na ujipange kuukabili. Bado mengi yanakujia, hadi maji utaita mma!
Usifananishe ubepari na upumbavu , huu unaoendelea nchini ni upumbavu na ukosefu wa maadili , kukosa maadili si mpaka uwe kahaba au mwizi tu ,bali hata tabia za kutojali na kuendekeza hongo + nepotism Kwa kila kitu ni ukosefu wa maadili
 
Back
Top Bottom