Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

 
Hayo si mambo ya kijinga, huo ni mfumo wa kibepari. Jikaze na ujipange kuukabili. Bado mengi yanakujia, hadi maji utaita mma!
Usifananishe ubepari na upumbavu , huu unaoendelea nchini ni upumbavu na ukosefu wa maadili , kukosa maadili si mpaka uwe kahaba au mwizi tu ,bali hata tabia za kutojali na kuendekeza hongo + nepotism Kwa kila kitu ni ukosefu wa maadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…