Kwani pale Kampala Kuna Nini mbona nasikia 🤸🤸

Adui yetu TANZANIA alikuwa magufuli na sasa hayupo ndiyo maana tunafanya sherehe kilasiku
 
Elitwege amekuchapa like hongera mkuu.
 
Hawa sio watanzania bwana
 
Waafrika mungu anatushangaa shetani anatucheka
Hivi nadhani kama mwezi mmoja uliopita kiduku amekataza wananchi wake wasiwe na swaga za magharibi, kiujumla mtindo wa maisha wa ki west jamaa kakataza
Kwetu tunatumiwa kujipiga sisi wenyewe
 
Dah hilo tama kama kafumaniwa.

KWA VICHWA MAJI WA JAMIIFORUMS;

Mwandishi wa uzi anaongelea kampala ya Uganda, Museven ana hali mbaya na amekimbizwa Nairobi kenya kwa matubabu ya Covid 19.

Mwaka wa madikteta.
Daa umenifungua.Alafu kwani Nairobi kuna hospitali classic kuliko za nchini kwetu maana hata huku kiongozi akizidiwa ni chap chap Nairobiii
 
Waafrika mungu anatushangaa shetani anatucheka
Hivi nadhani kama mwezi mmoja uliopita kiduku amekataza wananchi wake wasiwe na swaga za magharibi, kiujumla mtindo wa maisha wa ki west jamaa kakataza
Kwetu tunatumiwa kujipiga sisi wenyewe
Hahahah
 
Maadui zetu washatushinda mkuu,tunafanya Kama kubeti .panapotiki tumo[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…