Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

1. Mwanamke mtii (simaanishi mtii kwamba awe ana kubali Kila kitu noo!!! Lakini ana kataa bila kukufanya ujihis "you're less of man")
2. Mwanamke ambaye sio mropokaji (Kuna wanawake wana kelele bana kama kameza Kanda ya mahubiri)
3. Mwanamke ambaye sio mjuaji na sio mbishii( Kuna wanawake wanajua Kila kitu hiwez muelekeza akubali)
4. Mwanamke mwenye "cold shoulders" ( mtu tu ananuna na kususa bila sababu, na hata ukiuliza hakwambii)
 
Yoooo!!!! You're a fool, did you use the word "Mungu mwenyew ameshindwa"????
 
Nakazia hapa
 
NI VITU 2 TU.

1.Heshima/Utii

Hapo sitaki kubishiwa wala sitaki kujirudiarudia juu ya maagizo fulani niliyotoa.Maagizo yangu ni AMRI.

2.Nyapu

Muda wowote ninaotaka nyapu nipewe na ushirikiano uwepo wa kutosha , siyo sijui sijisikii, siyo sijui njoo ujipakulie kama una ngenye sana, kuna zile kauli za “Si jana nimekupa”au “Nimechoka”

SIPENDI SIPENDI SIPENDI AISEEEE.
 
Kweli hivi ndio vya msingi
 
1. Mpikie chakula kizuri
2. Mpe penzi taamu achoke alale fofofofofo
3. Mpe uhuru , usimfokefoke, ongea nae kwa upole
4. Mheshimu na mfanye kuwa mfalme , hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu!
5. Uwe msafi na kuifanya nyumba kuwa sehemu tulivu na ya amani , mama ndo pambo la nyumba ,
 
1) kupika
2) kupika
3)kupika

USAFI, AWE MSAFI

Hivyo ndjo vipaumbele vyangu. Naamini to yeye unavyo hivi vigezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…