Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yoooo!!!! You're a fool, did you use the word "Mungu mwenyew ameshindwa"????Demand za binadamu hazina kikomo , Binti fanya unachoona sahihi kwako !! Yeye akitaka atakaa akiona haimpendezi ataondoka !
Mungu mwenyewe ameshindwa kuaccomodate mahitaji yetu anajua kabisa tabia ya binadamu haridhiki ukishika hapa anataka huku !! Akakaa mbali ndo maana tunasemaga "utakalo lifanyike duniani kama mbinguni" na "mapenzi yako yatimizwe" atakavyopenda yeye !!
Kwahiyo wewe mtendee kwa uwezo wako ila eti utamkalisha labda apende yeye 😀😀
Nakazia hapaKuna vitu vitatu wanaume wengi wanapenda kutoka Kwa wenzi wao iwe mke, girl friend, mchepuko, etc vitu hivyo ni ni
1. Heshima
2. Nafasi siyo kila mda mke anamchunga chunga, kukagua sim mara miamia, wivu uliopitiliza kutobadili au kuzuia rafiki zake.
3. Se_x Au mbususu, Tena umpe bila masharti Wala kinyongo na isiwe ndio fimbo akikuudhi humpi hapana, pia wakat unampa unampa ushirikiano kama wote.
Kweli hivi ndio vya msingiNI VITU 2 TU.
1.Heshima/Utii
Hapo sitaki kubishiwa wala sitaki kujirudiarudia juu ya maagizo fulani niliyotoa.Maagizo yangu ni AMRI.
2.Nyapu
Muda wowote ninaotaka nyapu nipewe na ushirikiano uwepo wa kutosha , siyo sijui sijisikii, siyo sijui njoo ujipakulie kama una ngenye sana, kuna zile kauli za “Si jana nimekupa”au “Nimechoka”
SIPENDI SIPENDI SIPENDI AISEEEE.