Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

Siku unayo mtongoza mwanamke anakua kapendeza vizuri tu, ukiwa unataka kuonana nae anakuja kapendeza ila ukimuoa tu anaanza kuvaa nguo za ajabu ajabu mara kavaa dera kama kanzu Mara kavuruga vuruga nywele

Aaaahhhh ndo hapo tunarudi mtaani kutafuta alie pendeza tena
 
Kuna vitu vitatu wanaume wengi wanapenda kutoka Kwa wenzi wao iwe mke, girl friend, mchepuko, etc vitu hivyo ni ni
1. Heshima
2. Nafasi siyo kila mda mke anamchunga chunga, kukagua sim mara miamia, wivu uliopitiliza kutobadili au kuzuia rafiki zake.
3. Se_x Au mbususu, Tena umpe bila masharti Wala kinyongo na isiwe ndio fimbo akikuudhi humpi hapana, pia wakat unampa unampa ushirikiano kama wote.
Mi nahisi kuna vingine mkuu,mbona kuna jitu nililipa vyote lakini bado liliniona ndezi.....mi naona ya kwanza mume awe na upendo wa kweli kwanza
 
Wakati unamtongoza mwanamke anakua kapendeza, ukiwa unataka kuonana nae anakuja kapendeza ila ukimuoa tu anaanza kuvaa nguo za ajabu ajabu mara kavaa dera kama kanzu Mara kavuruga vuruga nywele

Aaaahhhh ndo hapo tunarudi mtaani kutafa alie pendeza tena
Sawa,ila wanawake wa kileo wanapendeza sana ndani
 
Demand za binadamu hazina kikomo , Binti fanya unachoona sahihi kwako !! Yeye akitaka atakaa akiona haimpendezi ataondoka !

Mungu mwenyewe ameshindwa kuaccomodate mahitaji yetu anajua kabisa tabia ya binadamu haridhiki ukishika hapa anataka huku !! Akakaa mbali ndo maana tunasemaga "utakalo lifanyike duniani kama mbinguni" na "mapenzi yako yatimizwe" atakavyopenda yeye !!

Kwahiyo wewe mtendee kwa uwezo wako ila eti utamkalisha labda apende yeye 😀😀
😂😂😂hili neno kuna mwamba aliongea pia....kwamba MTU sahihi kwako ni yule aliyekupa Mungu mwenyewe Bujibuji Simba Nyamaume
 
Eti mwanaume wa kutulia 😂😂😂,,,, michepuko inafanya ndoa inatulia raha mstarehe tena ukichepuka na mwenye ndoa yake... Siyo kichanchede cha kuomba vocha usiku saa 5 uko nyumbani...
 
Back
Top Bottom