Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

Mkuu nna demu jamani demj anadeka yule khaaa yaani mpaka kero sasa.
Hayana fomula mapenzi kama waya tu, we chomeka chomeka utakapokubali ndio hapo hapo kesho tena unachomoa na kuchomeka chomeka.....ukijifanya kuwa mtii sana kuna ladha anakosa anakukimbia anaenda kusaka viswaswadu
😂😂😂😂 kias.. Kilakitu kias
 
Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba.....wake zenu yaan

Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke...
Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake ....Nyumba ikikosa amani tendo halifanyiki...nguvu za kiume hupungua(stress)....Nyumba inakuwa kama jengo la Mahakama waingia kwa kunyata,kimahesabu.

Sasa kwa kuwa ndani hamueleweki...kila siku kusifia michepuko,kusifia mahousegirl...kusifia viuno vya wanaume wenzenu....wake zenu mnataka tuwatendee nn.....ili tulipambanie life mpaka tufanikiwe pamoja na watoto wetu.(Tulie kivulini)

Yani ye akisifia mchepuko, We msifie rafik ake kipenzi.
Akimsifia mwanaume mwenzie anajua kuzungusha we mwambie kaka ako ana kifua kizuri jamani yalaaaah.
Mwisho wa siku unamalizia na kumsifia mchungaji au sheikh wa kanisa lake alf unamwambia week ijayo ntamsifia ba mkwe wangu.
 
Heri ya Mwaka Mpya kwako pia Eroni...

Ni hivi...Ni nini Mwanaume(Aliyeoa) akifanyiwa na Mke wake kinampa Amani?

Nimesikika? Au niongeze sauti?[emoji23]
Umesikika, kwanza huna sauti zaidi ya hii🤣

Vingi sana, sijajua mleta mada alinuia kwenye angle ipi ya maisha, misosi, MISOSI🤣, heshima nk sijui alitaka tuongelee nini.
 
Mi napenda mwanamke (charming mwenye uanamke(kitabia),mfupi,mnene,mweusi, awe submissive, mcha Mungu, akili kidogo ya maisha, anaeniheshimu, most important anidekeze(Kama mtoto mdogo)) akiwa hivyo nichepuke yanini walai kumchoka siwezi ntampa hata bank account yangu(ambayo situmii) yaani wanawake wa hivi ndo wenyewe sasa ❤️
 
Kwanini mfupi? Wewe ni mrefu?
 
Yani ye akisifia mchepuko, We msifie rafik ake kipenzi.
Akimsifia mwanaume mwenzie anajua kuzungusha we mwambie kaka ako ana kifua kizuri jamani yalaaaah.
Mwisho wa siku unamalizia na kumsifia mchungaji au sheikh wa kanisa lake alf unamwambia week ijayo ntamsifia ba mkwe wangu.
😂😂😂😂 yaan wewe huwezekaniki aisee
 
Attachments

  • JamiiForums-544456600.gif
    JamiiForums-544456600.gif
    2.1 MB · Views: 3
Back
Top Bottom