Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

Hewala na hii pia...

Yaani kwa lugha nyingine, mwanaume asiye na akili hawezi kuishi na mwanamke...😅😅
Kwa hiyo kumbe nna akili sana eeh🤣
Heri ya mwaka mpya chief!!
 
Mwanamke ukiwa mtii kwa mwanaume, kama mume huyo atakua bado na kisirani nawe basi atakua na mental problem.

Dawa ya kumkamata mwanaume ni kukubali kua Subject/Submissive wake. Yaani Mtii!
Asante mkuu👊
 
Asante sana, huyo haswa ndiyo hitaji la moyo wangu. Nilimuomba sana Mungu anipatie mwenzi wa kufanana mwaka huu ninapotimiza 63yrs, naye akaniletea binti mbichi kabisa To yeye
Mshukuru Mungu kwa kukupa furaha ya moyo wako,furaha ya nafsi maana ni jambo la kumshukuru Mungu sana.
Binti mbichiiii,binti mteke kabisa ...yaan binti amekamilika idara zote za nje(mrembo,ana piston za kutosha)na za ndani unazijua mwenyewe
 
Kwa hiyo kumbe nna akili sana eeh🤣
Heri ya mwaka mpya chief!!

Heri ya mwaka mpya chief...

Kuna wakati hata hiyo akili inakuwa haitoshi bali inabidi uwe genius
 
Mshukuru Mungu kwa kukupa furaha ya moyo wako,furaha ya nafsi maana ni jambo la kumshukuru Mungu sana.
Binti mbichiiii,binti mteke kabisa ...yaan binti amekamilika idara zote za nje(mrembo,ana piston za kutosha)na za ndani unazijua mwenyewe
Neema za Allah Shekh, mimi zinanimaliza kabisa
 
Back
Top Bottom