Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu ni mfumo wa kisasa, wanawake wamegeuka watafutaji hivyo wanaume wengi hawahangaiki tena na majukumu ya familia. Wanawake wanajitafutia na kujihudumia wao wenyewe na familia nzima. Wanaume wamegeuka wala Bata tu kwa sasa.Anakuachia majukumu 90% yaan yeye anadeal na 10%
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hayo mambo hayajadiliwi wazi namna hii Maki, yani sio rahisi kuyasema...kwanza mi nna aibu[emoji2960]
Aisee,maisha haya bhana...Sababu ni mfumo wa kisasa, wanawake wamegeuka watafutaji hivyo wanaume wengi hawahangaiki tena na majukumu ya familia. Wanawake wanajitafutia na kujihudumia wao wenyewe na familia nzima. Wanaume wamegeuka wala Bata tu kwa sasa.
Basi njoo pembeni tuyajadili bila aibu, nataka kuona kama nikiwa na wewe nitakuwa na aibu ama vipi!!🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenyewe nina aibu..
Mwanaume aliyekataliwa akiwa masikini akija kupata pesa akioa hawezi kutulia,
Hapa mkata viuno wa tandale anahusikaMwanaume aliyekataliwa akiwa masikini akija kupata pesa akioa hawezi kutulia,
Wanawake wengi saivi ni madumejike hata hayadeki aisee.Heshima,mdekee aiseeh hii kitu inanikuna moyo yaan Mwanamke adekee aloooh inaleta mzuka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi njoo pembeni tuyajadili bila aibu, nataka kuona kama nikiwa na wewe nitakuwa na aibu ama vipi!![emoji1787][emoji1787]
Hivi hawafahamu baadhi tunapenda sana hiyo.Wanawake wengi saivi ni madumejike hata hayadeki aisee.
Mnapiga story kama mtu na mchizi wake tlfauti ni sauti tu, mideko ya kidemdem hamna daah.
Niambie umevaaje na umesukaje ili nikija niondoe aibu zangu kwa kukuchum🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo kwenye Tent la blue nyuma huku..
Unajua dunia ilibadili mfumo, mwanamke aliyekuwa na jukumu la kulea familia akageuzwa naye mtafutaji, ndio haki sawa hiyo.Aisee,maisha haya bhana...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niambie umevaaje na umesukaje ili nikija niondoe aibu zangu kwa kukuchum[emoji1787][emoji1787]
Subiri kwanza🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko tu na Upara mmoja hivi...
Nimevaa Dera...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subiri kwanza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umevaa dera, hahaha ngoja nifunge mkanda wa bukta yangu vizuri[emoji1787]
Siri haipo kwenye kumpa vyote To yeyeMi nahisi kuna vingine mkuu,mbona kuna jitu nililipa vyote lakini bado liliniona ndezi.....mi naona ya kwanza mume awe na upendo wa kweli kwanza
Hakuna mwanaume anaeomba tigo bila kupewa viashiria. Mwanamke anapaswa kuangalia mitego yake.Wanaomba mpaka Tigo mkuu....nashauri utii uwe na kiasi
Watapuuza ila umenena jambo kuuMwanaume anakuwa na amani na anapenda anapotegemewa na mke wake.
Mwanaume anahitaji kuona kwamba mke wake anamtegemea yeye.
Muoneshe shemeji kwamba unamtegemea kama sio kiuchumi basi muoneshe unategemea mawazo yake.
Maneno haya yaandikwe kwa wino wa dhahabu toka BuzwagiHayana fomula mapenzi kama waya tu, we chomeka chomeka utakapokubali ndio hapo hapo kesho tena unachomoa na kuchomeka chomeka.....ukijifanya kuwa mtii sana kuna ladha anakosa anakukimbia anaenda kusaka viswaswadu
ulie kivulini na nan?!😂Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba.....wake zenu yaan
Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke...
Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake ....Nyumba ikikosa amani tendo halifanyiki...nguvu za kiume hupungua(stress)....Nyumba inakuwa kama jengo la Mahakama waingia kwa kunyata,kimahesabu.
Sasa kwa kuwa ndani hamueleweki...kila siku kusifia michepuko,kusifia mahousegirl...kusifia viuno vya wanaume wenzenu....wake zenu mnataka tuwatendee nn.....ili tulipambanie life mpaka tufanikiwe pamoja na watoto wetu.(Tulie kivulini)
Aisee ni kweli kabisaAnadekaa kihisia au kitapeli🤣🤣🤣 maana kuna njonjo zinaamsha hisia za huba ila kuna zile feki hadi unaona hiki nini sasa.