Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hata sijui mkuu, huenda ni ile kutojua hulka za kike(mwanamke anatakiwa kuwaje). Kuna baadhi yao wana bezi flani kwa mbali na hata akionge na wewe wala hainururishi(kuiremba) walau kidogo sauti yake japokua anaweza kufanya ivo na asiathirike chochote.Hivi hawafahamu baadhi tunapenda sana hiyo.
Tatizo Nini Hadi wanakuwa hivyo sikuhizi?
Mwingine hata kuchart anachart kiume kabisa, zile fresh, inakuaje na anaitika "naam" kabisa . Inaletaga tabu sana kuchart na mwenza wa hivi.