Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

Mshukuru Mungu kwa kukupa furaha ya moyo wako,furaha ya nafsi maana ni jambo la kumshukuru Mungu sana.
Binti mbichiiii,binti mteke kabisa ...yaan binti amekamilika idara zote za nje(mrembo,ana piston za kutosha)na za ndani unazijua mwenyewe
😂😂😂jaman jaman...sifa zote hizo daaah
 
Ni ngumu,yaan siyo mama tu...kushindwa kuvumiliana na ndugu wa mume ndoa huwez ukadumu nayo
Sasa umeona ehee ukiweza hapo kutoboa kwenye ndoa ni rahisi Sana kuna siku Dada mmoja alicomment kwamba hawezi kushindana na ndugu wa mume ambao hawawezi kushare papuchi alinifurahisha sana
 
Kabisa👊
 
Demand za binadamu hazina kikomo , Binti fanya unachoona sahihi kwako !! Yeye akitaka atakaa akiona haimpendezi ataondoka !

Mungu mwenyewe ameshindwa kuaccomodate mahitaji yetu anajua kabisa tabia ya binadamu haridhiki ukishika hapa anataka huku !! Akakaa mbali ndo maana tunasemaga "utakalo lifanyike duniani kama mbinguni" na "mapenzi yako yatimizwe" atakavyopenda yeye !!

Kwahiyo wewe mtendee kwa uwezo wako ila eti utamkalisha labda apende yeye 😀😀
Mwanamume halisi anataka FEMININE ENERGY. Yaani awapo ndani tofauti kati ya mume na mke iwe wazi. Wanawake wengi hii leo ni majike dume, ni kama kuna wanaume wawili ndani isipokuwa tu mmoja ana makalio makubwa. Wanawake hawana ile haiba ya kike, mwanamke hana aibu, ana overconfidence, hapendi majukumu ya nyumbani kama kupika, kufagia nyumba, kufua, kulea watoto nk. Muda wote ni habari za vikoba na ujasiriamali tu, amejigeuza mtafutaji naye. Kwa mwendo huu kwa nini kusiwe na mlipuko?
 
Tusipotafuta watoto watakufa njaa,hatuhudumiwi mkuu
 
Oo jaman mkuu,upo?
Nope, tukiongelea ndoa tunaongelea watu waliotengwa na dunia. Sio huu uhuni wa siku hizi mnaoita ndoa. Mwanamke anaondoka saa 11 alfajiri kwenda kutafuta na mwanamume anatoka saa kumi na moja. Wote mnakutana nyumbani saa nne usiku mmechoka. Je, kuna mwanamke hapo!? HAKUNA. Sasa kama wote ni wanaume kwa nini usiombwe tiGO?
 
Sasa itakuwaje na wanaume hawatunzi familia mkuu
 
Tusipotafuta watoto watakufa njaa,hatuhudumiwi mkuu
Ukiona hivyo ujue mwanamune hayuko tayari kwa ndoa, usiolewe. Mwanamke si mtafutaji, kwani kwenye kutafuta atapata na visivyotafutwa. Mwanamke ana jukumu zito la malezi ya familia, sio kuzurura hovyo mitaani eti ujasiriamali. Huo ndio mwanzo wa kifo cha ndoa
 
Stay blessed mkuu🙏🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom