Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba.....wake zenu yaan

Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke...
Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake ....Nyumba ikikosa amani tendo halifanyiki...nguvu za kiume hupungua(stress)....Nyumba inakuwa kama jengo la Mahakama waingia kwa kunyata,kimahesabu.

Sasa kwa kuwa ndani hamueleweki...kila siku kusifia michepuko,kusifia mahousegirl...kusifia viuno vya wanaume wenzenu....wake zenu mnataka tuwatendee nn.....ili tulipambanie life mpaka tufanikiwe pamoja na watoto wetu.(Tulie kivulini)

Ni kuzingatia mafundisho katika vitabu vitakatibu.

Enyi wanawake watiini waume zenu na mwanamke mpumbavu huharibu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

Wanaume wapendeni wake zenu.
 
Siku unayo mtongoza mwanamke anakua kapendeza vizuri tu, ukiwa unataka kuonana nae anakuja kapendeza ila ukimuoa tu anaanza kuvaa nguo za ajabu ajabu mara kavaa dera kama kanzu Mara kavuruga vuruga nywele

Aaaahhhh ndo hapo tunarudi mtaani kutafa alie pendeza tena
[emoji1787][emoji1787]
 
Wake zenu,siyo wapenz wala wachumba.....wake zenu yaan

Amani ndiyo Nuru ya mafanikio kwa MTU yeyote awe mwanaume au mwanamke...
Amani humpa nguvu mwanaume ya kuweza kupambana kutafuta pesa kwa ajili ya familia yake ....Nyumba ikikosa amani tendo halifanyiki...nguvu za kiume hupungua(stress)....Nyumba inakuwa kama jengo la Mahakama waingia kwa kunyata,kimahesabu.

Sasa kwa kuwa ndani hamueleweki...kila siku kusifia michepuko,kusifia mahousegirl...kusifia viuno vya wanaume wenzenu....wake zenu mnataka tuwatendee nn.....ili tulipambanie life mpaka tufanikiwe pamoja na watoto wetu.(Tulie kivulini)
Sijaoa ila nadhani heshima na utii vinaenda sambamba na Uzi wako
 
Mwanamke ukiwa mtii kwa mwanaume, kama mume huyo atakua bado na kisirani nawe basi atakua na mental problem.

Dawa ya kumkamata mwanaume ni kukubali kua Subject/Submissive wake. Yaani Mtii!
 
Back
Top Bottom