Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?

Siku unayo mtongoza mwanamke anakua kapendeza vizuri tu, ukiwa unataka kuonana nae anakuja kapendeza ila ukimuoa tu anaanza kuvaa nguo za ajabu ajabu mara kavaa dera kama kanzu Mara kavuruga vuruga nywele

Aaaahhhh ndo hapo tunarudi mtaani kutafuta alie pendeza tena
 
Mi nahisi kuna vingine mkuu,mbona kuna jitu nililipa vyote lakini bado liliniona ndezi.....mi naona ya kwanza mume awe na upendo wa kweli kwanza
 
Sawa,ila wanawake wa kileo wanapendeza sana ndani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hili neno kuna mwamba aliongea pia....kwamba MTU sahihi kwako ni yule aliyekupa Mungu mwenyewe Bujibuji Simba Nyamaume
 
Eti mwanaume wa kutulia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,,,, michepuko inafanya ndoa inatulia raha mstarehe tena ukichepuka na mwenye ndoa yake... Siyo kichanchede cha kuomba vocha usiku saa 5 uko nyumbani...
 
Ndoa ikiwa changa anapendeza akishapata mtoto tu anaaanza mara kavaa shati yako , mara akiwa anafua kavaa dekio yaan haeleweki
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚umezidisha bhana
 
Eti mwanaume wa kutulia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,,,, michepuko inafanya ndoa inatulia raha mstarehe tena ukichepuka na mwenye ndoa yake... Siyo kichanchede cha kuomba vocha usiku saa 5 uko nyumbani...
AiseeπŸ™‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…