Kwani wanaume ni mambo gani yanawapa amani mkifanyiwa na wake zenu?


Ni kuzingatia mafundisho katika vitabu vitakatibu.


Enyi wanawake watiini waume zenu na mwanamke mpumbavu huharibu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

Wanaume wapendeni wake zenu.
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Sijaoa ila nadhani heshima na utii vinaenda sambamba na Uzi wako
 
Mwanamke ukiwa mtii kwa mwanaume, kama mume huyo atakua bado na kisirani nawe basi atakua na mental problem.

Dawa ya kumkamata mwanaume ni kukubali kua Subject/Submissive wake. Yaani Mtii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…