bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Wacha porojo hizo sheria zipo znz kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaNilikua nawaza hivi wakati wakristo wanaoishi zanzibar wanafunga huwa hakuna waislamu wanaokula hadharani!? Huwa wanakamatwa na kuwekwa Jela pia?
Je tukio lilifanyika au halikufanyika?.Hakuna mkristo mwenye akili timamu atasapoti huo ujinga wa hivyo.Kemea ujinga wowote ule unaofanywa kwa mgongo aidha wa dini au siasa.hivyo vitu vinaweza kugeuza nchi kichwa chini miguu juu.sasa wewe unaona video ni uchochezi ila hauoni kumponda mwingine kisa chakula sio uchochezi.Hii video ni ya muda na umeiweka sasa ili ilete kashfa na kukosa maelewano humu JF. Moderator hii sio sawa. Mi Mkristo na nipo Bara, video hii ni ya uchochezi.
Makafiri wanamkakati maalum Zanzibar kutaka kuifanya danguro. Wanataka kufanya kama siasa za chadema vs CCM. Mikwaju tu ukila mchana mpaka uheshimu mwezi mtukufu wa RamadhaniVideo hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.
Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?
Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.
View attachment 2947747
Soma pia:
1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika
2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!
3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Wacha porojo hizo sheria zipo znz kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaHii sio haki! Hata huku bara wapo waislamu, kwanini iwe kwao? Huu ujinga wa wao kujiona Superior kuliko watu wa bara lazima ukomeshwe haraka!
Wewe kwenu unapajua au ni ukinga tu umekujaa.Wacha porojo hizo sheria zipo znz kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Na waliokamatwa ndani ya nyumba zao wanapika chakula walikiuka kipi?Au wale wenye bodaboda kukamatwa njiani wakiwapelekea wateja chakula waliharibu kipi?Sheria za znz ni kosa kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Wacha porojo tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaWazanzibari wanachokitafuta watakipata... Dini ipo straight ila wao wanaitumia kama mwamvuli wa kutesea wengine
🤝🤝🤝Mkristo wa wapi ambaye happening muislam na muislam wa wapi asiyempenda Mkristo?
Mi nimeona katika familia ya Kiislam na mke wangu anaitwa Aziza na sasa amebadikisha Jina anaitwa Eliza huku akiwa a.etoka familia ya kishehe.
Tumezaliwa na kukulia katika maisha ya Ukristo, Baba yangu akiwa mzee wa Kanisa la Lutheran ila Dada yangu kabisa ameolewa na muislam na amebadilisha Dino sasa ni muislam. Watoto wake ambao ni wajomba zangu ni Waislam. Watoto wangu ni Wakristo huku Wajomba, Mama zao wakubwa na wadogo, mababu na mabibi ni Waislam. Sasa hapo chuki ipo wapi? Tunapendana, tunaheshimiana na kuvumiliana huku tukichukuliana ila nyie vijana wa hovyo humu JF kwa kutumia fake ID ndio mnatoa comments za kuchukiana ila kiuhalisia humu mitaani tu Binadamu na tu watanzania.
Bara Wapo Tele, Mpaka Mwisho HukoHawa watu ni wabaguzi sana. Mioyo yao imejaa na kusheheni chuki za wazi dhidi ya watu wa bara.
Na jinsi walivyojazana huku bara siku muungano ukivunjika sijui watajificha wapi
Ibara ya 13 (2) "Ni marufuku kwa sheria yoyote iliyotungwa na mamlaka yoyote katika Jamhuri ya Muungano kuweka sharti lolote ambalo ni la ubaguzi ama wa dhahiri au kwa taathira yake" Hii ni extract kutoka kwenye katiba ya Jamhuri ya muungano wa TanzaniaPolisi wamesema ni kinyume cha sheria za Zanzibar ,sasa wewe unapinga nn?😅😅
Qurani imefaradhisha jambo hilo kwa waumini yaani waisilamu walioiamini dini,na wala Qurani haijamtenza nguvu mtu mwingine kwamba ni lazima asile na hata hadharani.Na Quran imeandika tumefaradhishiwa kufunga mwezi wa Ramadhani.
Qurani iliyokuamrisha kufunga wewe muisilamu wapi Qurani hiyo imemkataza asiye muisilamu kula hadharani,aya ipi ?Issue ni kutokula hadharani.
Hizo sheria ni za znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani ? Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaNilishawaambia uislamu ni kazi sana hamsikii [emoji3][emoji3][emoji3]
Huku mboni wanakula km ni tamaduni acha uzuzu kengewee wapemba tunakula nao ugali Samaki muda huu hapa nilipo hakuna aliewashikia bakoraSoma nilichoandika Kabla ya kucomment Popoma wewe ..Sa kwanini Nile hadharani Wakati tamaduni na Desturi zao haziruhusu?....Huwa watumia akili kuwaza ama kinyesi cha nguruwe?
Swala la kufunga mighahawa hilo ni maamuzi huwezi kuwalazimisha kwa kuwa hiyo biashara ni yaoAisee hata hapo upanga dsm karibu na Campus ya MUDCC ,kipindi cha ramadhani migahawa mingi hufungwa.
Hawa ndugu zetu waislamu kiukweli huu si uungwana kabsaa. Huku Bara tukiamua kuwafanyia hivyo itakuwaje? Hata kwenye huduma tu kata,ardhi,elimu n.k?
Leta kifungu cha hio Sheria sio kubwabwaja tu au Sheria za Balozi wa Nyumba 10Hizo sheria ni za znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani ? Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Wanajifanya wanampenda mungu wakati kwao ndo kuna mashoga wa kutosha tuVideo hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu ya chuki ambayo ni hatari kwa Taifa.
Kwani mtu ukifunga, ukaendelea na mfungo wako inakuathiri nini kwa asiyefunga kula?
Siyo sawa Kitendo cha kuwachapa au kuwafanyiwa vitendo mbalimbali vibaya watu wasiofunga mwezi wa Ramadhani.
View attachment 2947747
Soma pia:
1) Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya wahanga na kuzaa Gharika
2) Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!
3) PEMBA: Achapwa Mikwaju Kula Mchana Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Wana nchi Yao wana serikali yao wana katiba yao wana sheria zao wewe mtanganyika inakuuma kitu gani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaSerikali ya Nchi ya Zanzibar kwani haipo kwenye muungano? Kwanini waseme huku sio bara?
Huku mboni fremu za Misikiti zina Migahawa Waislamu na wasio Waislamu wanakula hapo na hawapigwi bakora, uislamu gani unaowaambia wafanye huo ujinga? Kuna zuzu litakwambia tamaduni kengemaji kabisa kuna tamaduni za Allah? Km ingekua hivyo Si Dunia nzima watu wangekua wanavishwa mikwajuSwala la kufunga mighahawa hilo ni maamuzi huwezi kuwalazimisha kwa kuwa hiyo biashara ni yao