Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Wana nchi Yao wana serikali yao wana katiba yao wana sheria zao wewe mtanganyika inakuuma kitu gani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Hakuna tamaduni na Mila za Allah zinawaambia Waislamu mtu asipofunga akala mchana basi achapwe fimbo au afanyiwe vurugu acha ujinga ficha upumbavu wako hao ni wahuni wachache tu wanaoamua kuuchafua uislamu na usichanganye Dini na Siasa kwenye kapu moja, onyesha kifungu gani cha Msaafu kinachosema mtu akila hadharani kipindi cha mfungo apigwe fimbo au azaririshwe onyesha ni Aya IPI inayotoa maelekezo hayo?
 
Kwani zanzibar asili yake ni watu gani?

Na je utamaduni huo wanaofuata wamerithishwa na mababu zao wa asili ya hapo au wamerithishwa na waliowatawala?
Wewe njoo znz halafu ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua Asili yao karibu sana znz
 
Hawa. Zanzibar kumwondoa mkoloni tu ilibidi askari watoke bara halafu Leo. Wanajifanya vidume
Nyie watanganyika mlikuja zanzibar kuua tu na sio kumuondoa mkoloni, mkoloni aliondolewa Dec 1963 , ile Jan 1964 ilikuwa kuhalalisha mauaji tu...na mlitamani kila alie mweupe are siku ile
 
Huo ni uvunjifu mkubwa wa amani na haki za raia katika hii Jamuhuri, hao wanaompiga huyo kijana ni watu mafedhuli sana wanaoonekana kuwa na akili finyu sana.
Utumwa ni mbaya sana...
imagine ndio taifa letu hili na kuna viongozi na tunapambana kuleta maendleo.
 
Huo ni uvunjifu mkubwa wa amani na haki za raia katika hii Jamuhuri, hao wanaompiga huyo kijana ni watu mafedhuli sana wanaoonekana kuwa na akili finyu sana.
Umaskini shida sana, cha ajabu huwezi, kukuta mzungu anafanyiwa vitu kama hv,
 
Mkuu unaonekana hujashiba kabisa ktk Imani nakusihi ongeza juhudi uijue dini vyema kama wenzio wengi hasa wazazibar.
 
Kwani wao pia wanaompiga huyo mtu,walifunga kwaresma ilipoanza?
Au walikuwa wanabugia urojo
 
Sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika
 
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tena hilo kosa hukumu yake ni mwaka mmoja jela na viboko 12 sita ukiingia jela na sita ukitoka tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Leta hapa hio Sheria Aya IPI ya Qur'an inayosema hivyo itaje tuipambanue, Aya gani kwenye Qur'an inayoamrisha hivyo? Hakuna Aya mnaleta uhuni wa mapokeo hapa eti Sheria vifungu huna unaambiwa ilete hio Sheria huna unaambiwa leta Aya ya Qur'an huna,

Shekhe Abubakar Zuberi bin Ally alishasema watu wanaofanya hivyo sio Waislamu ni Wahuni kuna Waislamu alafu kuna Wahuni wanaouchafua uislamu kwa hio inabidi uelewe uislamu ni Dini Safi Ila kuna washenzi washenzi wachache wanaichafua kwa kufanya matukio wakisema wameagizwa na uislamu kumbe sivyo
 
Huo ni uvunjifu mkubwa wa amani na haki za raia katika hii Jamuhuri, hao wanaompiga huyo kijana ni watu mafedhuli sana wanaoonekana kuwa na akili finyu sana.
Hakika. Lakini serikali ya Zanzibar ina mkono wake katika hili maana ndiyo iliyotoa katazo la watu kula hadharani wakati wa mfungo. Nonsense. Kwani mimi nisiyefunga nikila aliyefunga akiona, chakula kinamrukia mdomoni? Tatizo la kuunganisha serikali na mambo ya imani. Watangaze hadharani kuwa wanaongozwa na sharia tujue.
 
kwa akili za hawa watu ni ngumu sana kuelewa hata wakieleweshwa wanatakiwa kunyooshwaa kwa vitendo aiingii akili kumdhulu mwenzio eti kwa sababu anakula huku wewe umefunga................ yaani how mbona ni vituko hivi.

hizi dini ni utumwa kabisa na za ovyo sana kuzishabikia!

bahati mbaya zaidi tuna viongozi wanauchu na madaraka vibaya sana kabla ya kuchukua hatua kali wao wanaangalia maslahi yao kwanza kwa hili la zanzibar hamtaona kiongozi yoyote analikemea watakaa kimya ni walafi sana wa madaraka viongozi wetu ila swala la wamasai walijitutumua mbelembele
 
Sheria gani wewe Ng'ombe? Sheria gani leta hio Sheria hapa na vifungu ionyeshe sio unajiongelesha tu
Kwa znz ni kosa la jinai kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Kwa znz ni kosa la jinai kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Ndio nimekwambia leta hicho kifungu cha Sheria msituletee uhuni

Ngoja nije nile hadharani huko alafu mumguse ndio mtanielewa kengenyie,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…