Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Sio kweli, Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania inatawala hadi Zanzibar na ndio maana hata Zanzibar imeshindwa kujiunga na Umoja wa Nchi za kiislamu kwa sababu Zanzibar ni sehemu ya muungano hivyo kwa Zanzibar kujiunga na OIC ilikuwa ni kuvunja Katiba ya muungano
 
Kwa mujibu wa katiba yake Zanzibar ni secular si ndio?
Basi basi hao 10% wako huru kufanya mambo yao.
Na kula hadharani maana yake nini? Kwanini wajifiche? Hawavunji sheria yoyote ya nchi.....
Majority or not, Waislam hawana haki ya kulazimisha mtu yoyote afuate imani yao.
Zanzibar sio Islamic State.
 
Hii video ya Zamani sana
Ndivyo mnavyojitetea kwa kila kosa mnalofanya nyinyi waumini wa ALLAH YULE SHETANI MKUBWA ZAIDI. hata kama ni zamani haiondoi ukweli kuwa akili zenu za kupewa na SHETANI ni finyu. Zamani ilianza na nyinyi raia kwa sasa hata polisi na viongozi wenu wamefuata huu ujinga
 
Mkuu unaonekana hujashiba kabisa ktk Imani nakusihi ongeza juhudi uijue dini vyema kama wenzio wengi hasa wazazibar.
Kuna tofauti ya imani na ujinga.

Hata waisilamu magaidi wanaojiripua wale hutuona sisi wenzao ambao hatujiripui kwamba tuna imani dhaifu,rejea mawaidha ya aboud rogo namna anavyotunanga waiisilamu ambao hatujiripui.

Hivyo huwenda ukadhani ni imani kumbe ni ujinga
 
Mnashindwa kumilia wenzetu tukio la Mwezi mmoja tu?
 
Mimi uniguse Mzeewangu ngumi mkononi nasemaje hata km nipo kwenye Nchi yako tutagawana majengo ya Serikali tusileteane usengerema hao wanawafanyia maboya tu,
Usiandikie mate shuka pale zanzibar ujidai kula kula tu ungalie kibano utajuta, mnakuja Zanzibar kutafuta nini bakieni huko huko unyamwezini
 
nimekuja kugundua wazanzibar wengi hawana exposure kabisa....


shida waislamu wanafundishwa dini ndo kinachowaharibu huwa hawafundishwai maadili jinsi ya kuishi kijamii.

mimi ni muislamu ila sitokuja kumpleleka mwanangu chuo(madrasa)...hakuna cha maana atakachoenda kujifunza zaidi ya kupandikizwa, chuki, udini na ukatili dhidi ya watu wasio dini yake..

ebu sikiliza hata mawaidha yao, kutishana, ku-criticize wakristo, yaani hawa wafundishi watoto, kuishi kijamii...hata ukienda zanzibar ukitoka bara, lazima watakuletea ubaguzi,..inashngaza sana aisee
 
Usiandikie mate shuka pale zanzibar ujidai kula kula tu ungalie kibano utajuta, mnakuja Zanzibar kutafuta nini bakieni huko huko unyamwezini
Nasemaje mnatafuta machafuko kichwa kichafu kije ukianzishie tu mambata haukijui wala nini Mzeewangu jiandae kulala Mwaisela utaibukia Mloganzila mamamaezako
 
Hujalazimishwa kufuata Imani ni wajibu wako kufuata sheria za nchi, umeambiwa usile mchana wa ramadhan wazwazi ufanye hivyo otherwise utachezea tu mikwaji hakuna namna nyengine
 
Nasemaje mnatafuta machafuko kichwa kichafu kije ukianzishie tu mambata haukijui wala nini Mzeewangu jiandae kulala Mwaisela utaibukia Mloganzila mamamaezako
Mwezi wa ramadhan bado haujaisha wewe funga safari nenda Zanzibar ule mchana waziwazi
 
Mwezi wa ramadhan bado haujaisha wewe funga safari nenda Zanzibar ule mchana waziwazi
Nipo kwenye maandalizi nitafikia Paje kwa Isiaka na ninakuja na kitimoto yangu ya kutosha uje maeneo hayo siku ya pasaka utakae muona anakula kitimoto hadharani ndio Mimi alafu njoo uniguse sawa
 
Magufuli angewanyoosha Nguruwe awa.
 
🤣🤣🤣🤣Mlevi umekimbia fimbo migombani. Acha pombe utachapwa sana.


Kuzini ni kosa mbona wakijulikana mpaka talaka wanapewa ,ila wagalatia mpaka kifo kiwatenganishe.
 
Elewa kwamba Zanzibar ni nchi na ina katiba yake, kuhusu Jamhuri ya Muungano inahusu kwenye mambo ya muungano tu, yaliyobaki yote yanasimamiwa kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar
 

Hujui kitu kuhusu zenji basi !Tutabishana tu.🤣🤣
 
Wenzetu Imani yao imejikita zaidi kwa matendo ya kimwili, hata KUENEA kwake sio kwa mahuburi, na kumfanya mtuu aamini na aamue kujiunga : Ila na kwa Vita na kwa kuoa mtu wa Imani tofauti na kumlazimisha mtu wa Imani tofauti ndio aamie upande wao, au kwa kuwagawia msaada wenye njaa na umasikini uliopindukia na kuwashawishi waamie upande wao.

Matendo ya Imani za wafuasi wa Yesu ni ya kitoho zaidi yaani mtu anafanya Jambo kwa Imani rohoni , na anapofunga ni commitment ya kutokula chakula Wala kutotamani akiona chakula. Kuifunga kwa wafuasi wa Yesu tendo la ibada kamili kujizuia kwa kitu kilichozoeleka kufanyika.

Lakini wenzetu wa pale maka na Madina kufunga ni Sheria ya kushinda njaa kwa lazima unataka au hutaki. Na ndio maana baadhi ya nchi zinazoendeshwa kwa sharia zao,kipindi Kama hiki unapitishwa msako wa Nyumba kwa Nyumba kuangalia nani kapika wakati wa mfungo
 
Nipo kwenye maandalizi nitafikia Paje kwa Isiaka na ninakuja na kitimoto yangu ya kutosha uje maeneo hayo siku ya pasaka utakae muona anakula kitimoto hadharani ndio Mimi alafu njoo uniguse sawa
Labda jifungie ndai kwa Isiaka, kwanini huli pale wakati unashuka boti au maeneo ya mjini nani atakuona huko shamba paje
 
Labda jifungie ndai kwa Isiaka, kwanini huli pale wakati unashuka boti au maeneo ya mjini nani atakuona huko shamba paje
Kwani Paje sio Zanzibar msengekisenge wewe kwani Zanzibar ni mjini tu? Wewe sema location ulipo nije kula mbele yako alafu tuone utanifanya nini uniguse nikufirigise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…