Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

kwanza elewa zanzibar si nchi ya kiislam, kama inataka hadhi hiyo basi itangaze rasmi kuwa ni nchi ya kiislam na raia wote wanapaswa kutii sheria/sharia kali za kiislam, hapo itaeleweka
 
Kwani wao pia wanaompiga huyo mtu,walifunga kwaresma ilipoanza?
Au walikuwa wanabugia urojo
Kwaresma sio mfungo sahihi ata wakiristo wenyewe wanamashaka nao wengi hawafungi wanaogopa kufa na njaa
 
Kwani Paje sio Zanzibar msengekisenge wewe kwani Zanzibar ni mjini tu?
Nasema paje ni shamba huko na hata hapo mjini ukijifungia ndani unaweza kula chochote, usijaribu hadharani utaumia
 
Nasema paje ni shamba huko na hata hapo mjini ukijifungia ndani unaweza kula chochote, usijaribu hadharani utaumia
Nimekwambia hapo mjini sema ulipo natoka Paje na Isiaka nakuja kula mbele yako alafu uniguse nikufirigise vizuri si mnawaonea maboya
 
Nimekwambia hapo mjini sema ulipo natoka Paje na Isiaka nakuja kula mbele yako alafu uniguse nikufirigise vizuri si mnawaonea maboya
Hii issue ni ya kitaifa usijaribu utaumia acha ndaro, wenzako 12 hao wako selo wanaliwa na mbu

Ujinga wa mtu mweusi kupigania dini ya mwarabu.
Na ndio maana siku zote waarabu hutudharau na kutuchulia kama vijakazi/watumwa

Hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.

Hebu tuambie wewe, waarabu walikubagua nini? Na wapi? Maana kila siku waarabu waarabu, hamuna kazi za kufanya every day kuongelea watu! Hivi huwa unalala kweli! Huwaoti kweli waarabu!
 
Hii issue ni ya kitaifa usijaribu utaumia acha ndaro, wenzako 12 hao wako selo wanaliwa na mbu

View attachment 2948119
Nakuja na Mimi niwe wa 13 wamenisahau huku nje acheni Sheria za kiduanzi Serikali haina Dini, alafu weka hivyo vifungu vya Sheria vinavyosema hivyo mboni hivyo vifungu hamvisemi au ni Sheria ya Imamu?
 
Hakuna watu wabaguzi na wabaya kama wazanzibar, binafsi I hate them
 
Huo ni uvunjifu mkubwa wa amani na haki za raia katika hii Jamuhuri, hao wanaompiga huyo kijana ni watu mafedhuli sana wanaoonekana kuwa na akili finyu sana.
Huwa wanaona dini yao ni ya maana zaidi kuliko zingine, Kwaresma wao wanakula na hakuna anayejali
 
Tena usijaribu kabisa, mbali na Zanzibar tu, huku huku bara jaribu kufanya hivyo, utaona kitakachokutokea. Na kama unaishi jiji la waislamu (Dar es Salaam) hama, hamia Moshi, arusha au mbeya.
Wewe boyanazi nimetoka asubuhi hii kupiga Mihogo na Waislamu tena tumekula sahani moja Mudi, Dulla, Ali, Salehe na Said Mihogo tumeila Safi kabisa hakuna cha kuangalia Dini acheni uzuzu Dar unakula popote na hakuna wa kukuzuia we unaishi Dar ya wapi?
 
Kwaresma sio mfungo sahihi ata wakiristo wenyewe wanamashaka nao wengi hawafungi wanaogopa kufa na njaa
Zipo funga za aina nyingi
Kutokula chakula ikiwemo katika hizo aina.

Halafu wakristo wengi hufunga mara nyingi tu..siyo watu wa kufunga kwa matukio tu ndio maana huoni wakiinadi funga yao wala kuwachukia aasiofunga.
 
Wewe boyanazi nimetoka asubuhi hii kupiga Mihogo na Waislamu tena tumekula sahani moja Mudi, Dulla, Ali, Salehe na Said Mihogo tumeila Safi kabisa hakuna cha kuangalia Dini acheni uzuzu Dar unakula popote na hakuna wa kukuzuia we unaishi Dar ya wapi?
Ni wapuuzi sn hao watu
 
Aisee hata hapo upanga dsm karibu na Campus ya MUDCC ,kipindi cha ramadhani migahawa mingi hufungwa.

Hawa ndugu zetu waislamu kiukweli huu si uungwana kabsaa. Huku Bara tukiamua kuwafanyia hivyo itakuwaje? Hata kwenye huduma tu kata,ardhi,elimu n.k?
Huko msasani kote wamejaa na hawasumbuluwi
Bado huko mikoani wapo ila wao kidogo nyie wabara wabara

Ova
 
HUU NI UNYAMA MKUBWA SANA. KOSA NI YEYE KULA? AU KULEWA? SI KWA NAFSI YAKE.
 
Njooni tutetee tukio hili la huyu Mbara kwenda kuchafua Zanzibar. Wabara wamekuja juu sana

FaizaFoxy Ritz Alwaz Malaria 2 choice variable The Boss
 
Wapo Wakristo wapumbavu pia. Hii video inachochea nini? Hujielewi dogo.
 
Kwaresma sio mfungo sahihi ata wakiristo wenyewe wanamashaka nao wengi hawafungi wanaogopa kufa na njaa
Wewe sio Mkristu wakristu hawafungi kwa msimu wakristu wanafunga muda na wakati wowote kuna Novena 9 mpaka 11 mtu anaruhusiwa kufunga na kutubu dhambi zake sio kwamba wanafunga Kwaresma tu kwaresma ni kwa ajili ya Pasaka kusherehekea ufufuko kwa hio km kwenu ni Ramadhan tu ya siku 30 ndio big deal wenzenu wakristu kufunga kwao Jadi sio Jambo la ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…