Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Wanafiki Hawa wakati kwenye vilinge wao ndo wanaongoza
 
Huu kama si ukicha ni nini? Kwanza hajafanya hadharani lakini pengine mtu hana biashara nyingine tofauti na hiyo ya kumuingizia kipato na kuna wateja wasiofunga kwa sababu zao wanazozijua, ni vipi mtu kama huyu unaenda kumkamata?
Tukiwaambia hawana akili wanakataa
 
Huu kama si ukicha ni nini? Kwanza hajafanya hadharani lakini pengine mtu hana biashara nyingine tofauti na hiyo ya kumuingizia kipato na kuna wateja wasiofunga kwa sababu zao wanazozijua, ni vipi mtu kama huyu unaenda kumkamata?
Tukiwaambia hawana akili wanakataa
 
Misimamo ya kijinga ptuuu
 
Waarabu wametuletea waafrika tamaduni za hovyo sana na laana za jangwani alafu zinakuja kutufarakanisha waafrika.
 
Uchaguzi ufanyike haraks viongozi wa kulinda nchi wapatikane
 
Wazanzibari wana ustaarabu wao tofauti na Wabara ambao unaonyesha umoja wao kama jamii ya Kiislamu wakati wa mfungo wa Ramadhan. Mjifunze kuheshimu tamaduni za jamii mnazoishi kama ni tofauti hata kama dini haipo mezani, na hata kama hukubaliani nazo.
 
Hiyo ishu imetokea Zanzibar miaka 6 nyuma ,nahisi hata smartphone ulikuwa hauna kama ndio unaona leo.

Ilisambaa sana kweny media ,mbona hakuna action.

Kingine watu uchagani walevi wanachapw sana jaribu kuzunguka ,usiwe unakariri mambo .


Meru mwaka jana walitangaza kuchapa watu wanaovaa nguo fupi haswa wasichana..

Arumeru hapo watu wanatozwa fain



View: https://youtu.be/QNzgoG-HJ6A?si=uUSF3NG2eCRTXToJ
 
Wewe haina haja ya ubishi njoo huku znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua vizuri hiyo KATIBA karibu znz
 
Nani kakwambia kuwa hawavunji sheria yoyote ? Kwa znz ni kosa la jinai kula hadharani mchana wa Ramadhani ndio maana wanapelekwa Mahakamani
 
Wacha porojo znz ni makosa kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Nikweli ni kanchi ka wajinga na sheria zao zimekaa kijingajinga vilevile kama walivyo wao
 
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…