Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Watanganyika rudini kwenu
 
Hawa wazanzibar wanatukanyaga kichwani ,hili clip inatakiwa tuwarudishie majibu ! Kama wameuchoka muungano nao waondoke kwetu ! Hii clip ingekuwa huyo anaepigwa ni mzanzibar mambo yangekuwa si mambo lazima wangelipiza kwa kuwapiga watu wetu huko
Mkuu wazanzibar hawautaki muungano, wanaoutaka tena kwa maslahi binafsi ni viongozi wa ccm, maana wanajua vyombo vya Dola vitatumika kuwaweka madarakani. Yaani kwa wazanzibar ni Bora Wakenya, Waganda nk kuliko watanganyika. Na hili jambo liko wazi kabisa.
 
HUU NI UGAIDI
 
Wengine ni maigizo tu ili wapige pesa za wajinga ndiyo waliwao.
 
Tatizo ninaloliona hapa ni mtu kufuata utaratibu wa eneo husika...,ili kuepuka hayo fuata utaratibu. When you are in Rome do what Romans do
 
Hao watu mbwa hawafai kabisa lakini wa kulaumiwa ni Nyerere kuiingiza Tanganyika kwenye muungano na hao Mazezeta.
 
Masikini ya Mungu Afrika bara lenye wapumbavu wengi.

Ukute hapo kuna mtu anakulia dundenche ya nke wa ntu lkn anachukia kula mchana.

Hizi dini hizi.... poleni sana wenye madini yenu ynayowafanya mnakuwa washenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…