Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Kuna wakati mtu unawaza ujinga ndio uislamu au uislamu ndio ujinga?

Mmehamisha ratiba ya kula mchana kwenda usiku, mnakula samoja, sanne mnakula tena na sakumi mnakula, Alafu bado ukimuona mtu anakula eti anakushawishi.

Huu ni upumbavu wa kiwango cha juu cha mwisho.
 
Zanzibar ni kupe wa Tanganyika.
 
Hii inatakiwa kujibiwa kwa nguvu ileile, ujinga sana huu
 
Yani mtu anakula usiku bado mchana tena anatamani akiona mtu anakula! hakuna dini hapo.
Yani Kwamba mpaka watoto wafunge mama wajawazito wafunge na wasiotaka kufunga wafunge..kwani huyo mungu mnamwabudu yeye ndo anataka hivyo
 
Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Na hii ndio shida ya Rais Mwinyi ataiharibu zanzibar kabisa! Ni lazima Zanzibar wachague kitu kimoja kuwa nchi ya kiislam kabisa na hawahitaji watu wengine au lah?
Wacha porojo znz nimakosa kula hadharani mchana wa Ramadhani
 
Hawa wapumbavu inatakiwa washughulkkiwe kisawa sawa,sio kuwakemea tu.

Ni waseng3 sana,aisee me wangenipiga huku mmoja wao ameipata pata
 
Hivi Zanzibar ni dola ya kiisilamu ama? inatumia katiba ipi na ibara ipi ya katiba Yao insema kula wakati ramadhani ni jinai tuanzie hapo
 
Ni jamii ambayo bado ni primitive sana, yaani ipo nyuma mnooo!!!
Watu wamekumbatia udini na chuki mioyoni mwana, kiufupi bado wapo utumwani!
Liberation is needed in Zanzibar!!
Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
 
Tatizo hapo si dini hata kidogo.Tatizo hapo ni ubaguzi wa Wazanzibar dhidi ya watanganyika.

Mzanzibar hajaiwahi hata siku moja kujiona ni Mtanzania Mzanzibar anakuwa Mtanzania pale fursa za Tanganyika zinapomfaidisha tu.Akipata ajira,ardhi,biadhara na nk huku Tanganyika anajiona Mtanzania,kinyume cha hapo Tanganyika ni chukizo kwake.

Mtanganyika hajui kutetea maslahi yake ikiwemo ajira, ardhi na kila kitu chake kaviacha vichukuliwe na kuchezewa na Mzanzibar jinsi apendavyo. Ndio maana Hayati Jomo Kenyatta aliwahi kutuita sisi ni maiti.
 
Nakumbuka alimwambia Nyerere kuwa anatawala maiti
 
Maisha ya raia wote wa taifa hili yanaongozwa na katiba ya JMT.
Hizo zako ni porojo tu znz wana katiba yao na pia sheria zao ndio maana kwa znz ni makosa kula hadharani mchana wa Ramadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…