bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Na kwa nini ule hadharani mchana wa Ramadhani na sheria zao zinakataza ?Huo ni upumbavu na kukosa akili unamchapaje mtu mzima na akili zake kwani kama hajafunga wewe inakuhusu nini? Wazanzibar wanajikuta waislamu sana kuliko wengine. Kwahili hapana aisee.
Wacha porojo znz ni makosa kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaKuna wakati mtu unawaza ujinga ndio uislamu au uislamu ndio ujinga?
Mmehamisha ratiba ya kula mchana kwenda usiku, mnakula samoja, sanne mnakula tena na sakumi mnakula, Alafu bado ukimuona mtu anakula eti anakushawishi.
Huu ni upumbavu wa kiwango cha juu cha mwisho.
Na wewe pia ni mpiganaji wa dini ya mwarabu?! Unachapa watu viboko kwa sababu hawajashinda njaa kama wewe?Wacha porojo za kijinga znz ni makosa kula kula hadharani mchana wa Ramadhani
Wewe njoo tu huku znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua kama dola au paundi au euro karibu znzHivi Zanzibar ni dola ya kiisilamu ama? inatumia katiba ipi na ibara ipi ya katiba Yao insema kula wakati ramadhani ni jinai tuanzie hapo
Wewe njoo huku znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utakijua hicho kifugu karibu sana znzKifungu kipi kwenye katiba Yao kinasema hivyo
Kwa hiyo kama ya zamani?Hii video ya Zamani sana
Hua nacheka nikimuona mswahili yupo busy kuongea kiarabu alf anajiona maisha ameyapatia kinyamaUjinga wa mtu mweusi kupigania dini ya mwarabu.
Na ndio maana siku zote waarabu hutudharau na kutuchulia kama vijakazi/watumwa
Hakuna Mkoloni aliyeondolewa Zanzobar Fatilia historia vizuriHawa. Zanzibar kumwondoa mkoloni tu ilibidi askari watoke bara halafu Leo. Wanajifanya vidume
Uislam na ujingaBaadhi ya watu uwezo wa kufikiria yaani utambuzi Wao uko chini Sana
Acheni kukuza mambo zazibar ina haki ya kutunga by laws zake.Kwamba Rais mpaka sasa haoni kile kinacho endelea Zanzibar ? Au kwa sababu ni watu wa imani yake na ndugu zake Wazanzibari ?
Mnataka mturudishe kwenye fujo za mabucha ya ng'ombe wakati wa Jakaya ?