Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
- Thread starter
-
- #41
Pole ndugu. Tunataka kutafuta suluhisho la kukomesha ugaidi kisayansi.Kuna ndugu yangu aliuawa kanisani Olasit Arusha. Na wahusika walikuwa Waislam. Sasa sijui wao ni magaidi au ni sehemu ya ibada walikuwa wanatekeleza.
Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi kwa kweli
Zipo, zipo, zipo! Ziweke japa tuzisome ili mjadala ufanikiwe na ufikie tamati badala ya kukubaliana kuwa zipo tusizoziona.Sawa hata bible ziko na aya kama hizi.
Nahitaji dondoo za maswali. Usijiondoe ktk mada kuu
Ni nani unataka kumpa ajaze dodoso?Pole ndugu. Tunataka kutafuta suluhisho la kukomesha ugaidi kisayansi.
Shauri dodoso gn tuweke kuuliza. Rudi kwenye mada
Luka 22:38 (KJV)Luka 19:27
Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.
Luke 22:38
The disciples said, "Lord, look! Here are two swords!" Then Jesus said to them, "That's enough!"
Matthew 10:34–36
Jesus telling the disciples that He came not to bring peace to the world, but a sword.
Matthew 26:52
Why then, did Jesus say, “Do not suppose that I have come to bring peace to the earth. I did not come to bring peace, but a sword.”
lazima kwanza utofautishe vitu viwili, uhalifu na dini.tunaanza kwanza kutoa jina baya kabla hatujamuaa mbwa mkorofi.
Ugaidi ni silaha ya mabeberu pale mbinu nyingine zinaposhindwa kuwacolonize watu, silaha iliaanza kutumika duniani kote hasa maeneo yenye waislamu wengi hasa baada ya kufanikiwa pale middle east.
Mashariki ya kati, ilipandikizwa silaha ya ugaidi ili kumlinda Israel na maslahi ya USA kama reserve ya mafuta, Lengo ilikuwa kudestibilize ule ukanda na kuwaacha majirani wakiwa busy kutatua matatizo yao wenyewe.
HAKUNA UGAIDI DUNIANI BALI NI OPERATION ZA CIA na mabeberu wenzie kulinda maslahi yao.
Uislamu unatumika kama chambo huku ndani very deep COW BOY mwenyewe anaremote kila kitu.
Prove your theoryKila kinachotokea ni us plan.
Je unajua us ndio isis
Sio kila muislam ni gaidi ila kila gaidi ni muislamu,mafundisho ga kiislam ndio mzizi unaopelekea kuzaa ugaidi.Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli ugaidi upo na waliotuhumia na kukaa ndani zaidi ya miaka 5 kuna aliyekutikana na makosa hayo na kutumikia adhabu.
Jamii ya Kiislamu itaendelea kuuthibitishia umma kwa ni jamii isiyo na hatia kwa kuongozwa na:
• Kindness
• Trustworthiness
• Unselfish generosity
• Humility
• Great manners
• Self-awareness and courage
• Integrity and benevolence
Lakini pia ninyi ndugu zetu tungependa kwa pamoja muthibitishe kisayansi kupitia tafiti kujustify kamata kamata ya waislam kwa tuhuma za Ugaidi kama kuna usahihi wowote au kuna chuki na ubaguzi.
Wakili msomi Maledeka kwa kutumia weledi na ubobezi kaamua kuwasaidia waislam kuuthibitishia umma kuwa kuna hatari kama taifa na kutumia hisia kuwahukumu watu. Na matokeo yake nguvu kazi na pesa za walipa kodi inatumika kwa matumizi yasiyo na sababu zaidi ya kile waislam wanaona ni chuki za ubaguzi.
Wakili msomi anaeza zaidi ktk dkk ya 7 ya clip hii.
View: https://youtu.be/72rIuu-GSf0?si=YgXX61_IVXyjaAxT
Lengo la tafiti hii ni kutaka Maridhiano ya kitaifa ili kama ukamataji wa watuhumiwa uko una justification sheria hii uendelee, lkn kama kuna mapungufu basi sheria hii ifanyiwe marekebisho au ifutwe kabisa ili sheria ya uhalifu itumike kama MBADALA.
Utafiti huu tuwahusishe wadau wakuu wa kusimamia na kudhibiti ugaidi kama idara maalum ya kuzuia ugaidi, jeshi la polisi, jeshi la kimataifa (Interpol), ubalozi wa Marekani.
Naomba ushirikiano wako kwa kutueleza;-
1. Je, kisheria inaruhusia kwa taasisi ya kidini kuja na utafiti wa aina hii.
2. Unaweza dondoa ni maswali gani ya kuuliza kama dodoso katika utafiti huo.
Ili utafiti uje kutuletea majibu sahihi na thabit yenye kusaidia taifa
3. Nani anaishi katika mazingira ambayo jirani zake wamekamatwa kwa makosa ya ugaidi.
4. Je ungependa kushiriki kwa namna moja ktk tafiti hii.
Karibuni kwa michango yenye nia ya kujenga kwa maslahi mapana ya taifa
Hakuna aya inayosema mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako,wala inayowaelekeza waislam kuwapenda wanao wachukia na kuwaombe au ile inayosema utampenda vipi mungu usiye muona kama hupendi bina damu mwdzi.Hili siyo tatizo la Tanzania pekee, bali ni la sehemu nyingi duniani na chanzo chake ni mafundisho ya kitabu husika..
MAANDIKO YA KORAN YANAYOHAMASISHA UGAIDI:
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
Kumbuka wakristo muongozo wao mkuu ni Injilo ya kristo yesu,aliyewaambia wawapende na kuwaombea wanao wachukia.Sawa hata bible ziko na aya kama hizi.
Nahitaji dondoo za maswali. Usijiondoe ktk mada kuu
Kwahuyo ndugu muislam upo tayari kutumiwa na makafiri ukauwe wenzako,basi hakuna waislamu bali ni magaidi na kwanini wakiua lazima wataja jina la nshetani wao alakubartunaanza kwanza kutoa jina baya kabla hatujamuaa mbwa mkorofi.
Ugaidi ni silaha ya mabeberu pale mbinu nyingine zinaposhindwa kuwacolonize watu, silaha iliaanza kutumika duniani kote hasa maeneo yenye waislamu wengi hasa baada ya kufanikiwa pale middle east.
Mashariki ya kati, ilipandikizwa silaha ya ugaidi ili kumlinda Israel na maslahi ya USA kama reserve ya mafuta, Lengo ilikuwa kudestibilize ule ukanda na kuwaacha majirani wakiwa busy kutatua matatizo yao wenyewe.
HAKUNA UGAIDI DUNIANI BALI NI OPERATION ZA CIA na mabeberu wenzie kulinda maslahi yao.
Uislamu unatumika kama chambo huku ndani very deep COW BOY mwenyewe anaremote kila kitu.
Ngoja tuoneUmeanza kuonyesha njia kwetu tunaotaka kusaidia kulinda nchi.
Naomba sasa weka dodoso za kuwauliza tunapenda field. Dondoo hizo ziwahusu pia taasisi zilizowahi kukamata watuhumiwa ili uwatumie kama case study. Polisi, kikosi maalum cha kuzuia ugaidi, mahakama, ubalozi za us.
Kwani pamoja na watu kukamatwa na ugaidi hakuna aliyemaliza kesi na kukutwa na hatia.
Moja ya mapungufu ya sheria hii ni kwamba askari akimhisi tu kuwa huyu ni gaidi anaruhusiwa kumuweka ndani hata miaka 10 hadi ajiridhishe kuwa si gaidi. Kwa kuona udhaifu wa sheria hii mama Samia ameagira asikamatwe yyt bila ushahidi kwanza kukamilika.
Mfano wa dondoo.
Je, unaamini sheria ya ugaidi si ya kibaguzi
Je sheria ya ugaidi nimewahi kutenda haki.
Tuendelee mkuu
Ugaidi hautokoma kwa sababu hamjui ukweli, na sasa kuna AI ndio kabisa .1. Unapo anza kumwita binadamu mwenzako ni Kafiri, hapo ni mwanzo wa fikra hasi dhidi ya jamii fulani bila sababu za msingi.
Hata kama unasoma katika kitabu fulani, unatakiwa pia utumie akili yako ya kuzaliwa kuweza kuchanganua taarifa hizo kwa kutumia akili zako.
2. Unapo hisi au kuambiwa kuwa una onewa na mamlaka pia unatakiwa kutumia akili yako kuchambua hiyo taarifa kwa kutumia akili yako.
Neno Waislamu wanaonewa.
Tunalisikia mara nyingi na wengine wanaandika humu JF na tunawajua kwa majina yao.
Hizi fikra za kuonewa wakati mwingine zinatumika na wafadhiri wa ugaidi ambao wengi wako nje ya nchi kusambaza chuki kwa jamii fulani ili waweze kutimiza malengo yao ya kufanya vurugu katika nchi au eneo fulani.
3. Nia ya kutawala eneo fulani pia ni chanzo cha matendo ya kigaidi.
Somalia kuna eneo linatawaliwa na Al-Shabab.
4. Tamaa ya pesa, vijana na wazee wanaojiunga na vikundi vya kigaii wengi wao hawana ajira rasmi, hivyo kuvutiwa na mishahala wanayoahidiwa na taasisi za kigaidi eg ISIS.
{Dodoso la kutathmini vitendo vya kigaidi}
Mtu akijiunga na kundi fulani la ugaidi, huwezi kumfanyia interview, kwani hatakupa ushirikiano kwakua anajua kuwa ugaidi hautakiwi katika jimii yoyote.
Nani wa kufanyiwa interview?
Hapo ni lazima uwatembelee magaidi wenyewe wakiwa kambini kwao.
Unaweza kuona clips kwenye YouTube.
Zimeandikwa Intervew with Al-Shabab.
Watakupa sababu ni kwanini wanafanya hivyo vitendo.
Na ni kwanini wengi wao ni Waislamu.
Hilo jina kutajwa tu basi wewe unajua ni muislamu kabisa , ni simple matrix kwa kutajwa jina tu , sheria za kiislamu ukiua nawe unauliwa ...Wasingethubutu huo ushenzi kabisa kweny nchi za kiislamu mnachezewa hku kweny democary eti kesi inafanyiwa upelezi kule Iran wameisha wote .Kwahuyo ndugu muislam upo tayari kutumiwa na makafiri ukauwe wenzako,basi hakuna waislamu bali ni magaidi na kwanini wakiua lazima wataja jina la nshetani wao alakubar
Kwa hiyo majina ya kiaarabu yote ni kiislamu ? Unatakiwa ujue ile ni lugha tu , hata yule Maher zain haimbi nyimbo za dini yule ni msanii kwa mwingine 😀 😀 .lazima kwanza utofautishe vitu viwili, uhalifu na dini.
Just because you are dini fulani, na dini hiyo inahimiza kuto kufanya uhalifu haimaanishi waumini hawatofanya uhalifu. Hao waumini ni binadamu, na kama binadamu wengine wapo wabaya na wazuri, sasa wale wabaya watatumia excuse mbali mbali ( ikiwemo dini) kuteleza mambo yao
Ugaidi ni uhalifu just at large scale
lakin swali langu pia, why vikindi hiv wanajiita majina ya kiarabu au kiislam?
Ni CIA wanawapa hayo majina?
Ni nani unataka kumpa ajaze dodoso?
Hivyo vikundi mbona havipo nchi za kiislamu kuna kitu hapa , wanakaa sehemu zenye machafuo baada ya Gaddaf wameibuka kule Libya , baada ya Saddam wameibuka Iraq hapa kuna jambo zito sanaDunia itakua salama zaidi siku binadamu akiishi kwa misingi ya upendo na sio dini, kwa sababu dini huleta utengano na sio upendo.