Kwanini 99.9% ya waliokamatwa kwa tuhuma za makosa ya Ugaidi ni Waislam?

Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli ugaidi upo na waliotuhumia na kukaa ndani zaidi ya miaka 5 kuna aliyekutikana na makosa hayo na kutumikia adhabu.

Jamii ya Kiislamu itaendelea kuuthibitishia umma kwa ni jamii isiyo na hatia kwa kuongozwa na:
• Kindness
• Trustworthiness
• Unselfish generosity
• Humility
• Great manners
• Self-awareness and courage
• Integrity and benevolence
Lakini pia ninyi ndugu zetu tungependa kwa pamoja muthibitishe kisayansi kupitia tafiti kujustify kamata kamata ya waislam kwa tuhuma za Ugaidi kama kuna usahihi wowote au kuna chuki na ubaguzi.

Wakili msomi Maledeka kwa kutumia weledi na ubobezi kaamua kuwasaidia waislam kuuthibitishia umma kuwa kuna hatari kama taifa na kutumia hisia kuwahukumu watu. Na matokeo yake nguvu kazi na pesa za walipa kodi inatumika kwa matumizi yasiyo na sababu zaidi ya kile waislam wanaona ni chuki za ubaguzi.

Wakili msomi anaeza zaidi ktk dkk ya 7 ya clip hii.

View: https://youtu.be/72rIuu-GSf0?si=YgXX61_IVXyjaAxT

Lengo la tafiti hii ni kutaka Maridhiano ya kitaifa ili kama ukamataji wa watuhumiwa uko una justification sheria hii uendelee, lkn kama kuna mapungufu basi sheria hii ifanyiwe marekebisho au ifutwe kabisa ili sheria ya uhalifu itumike kama MBADALA.

Utafiti huu tuwahusishe wadau wakuu wa kusimamia na kudhibiti ugaidi kama idara maalum ya kuzuia ugaidi, jeshi la polisi, jeshi la kimataifa (Interpol), ubalozi wa Marekani.

Naomba ushirikiano wako kwa kutueleza;-

1. Je, kisheria inaruhusia kwa taasisi ya kidini kuja na utafiti wa aina hii.

2. Unaweza dondoa ni maswali gani ya kuuliza kama dodoso katika utafiti huo.

Ili utafiti uje kutuletea majibu sahihi na thabit yenye kusaidia taifa

3. Nani anaishi katika mazingira ambayo jirani zake wamekamatwa kwa makosa ya ugaidi.

4. Je ungependa kushiriki kwa namna moja ktk tafiti hii.

Karibuni kwa michango yenye nia ya kujenga kwa maslahi mapana ya taifa

Polisi inakanata wahalifu sio waislanu na haikamati kwa uwiano wa kidini au kikabila.

Mleta nada ni mchochezi unayejenga taswira kuwa waiskamu wanaonewa na ilitakiwa na wewe ukamatwe kwq uchochezi na kujenga chuki katika janii.

Nikuulize swali uliishaona au kusikia miongoni nwa waliowahi kukamatwa kwa ugaidi wamo waislamu wa jamii ya Ismalia au Bohra? Kana watu wanakanatwa kwa sababu tu ni waislamu mbona waislamu toka madhehebu hayo hawakamatwi,? au kuna waislamu wanaopendwa na kuchukiwa. Kana mfuasi wa dhehebu lako amekamatwa na unadhani hana kosa basi muwekee wakili ili akifikishwa mahakanani aweze kutetewa sio kupandikiza chuki katika jamii.

Huyu Wakili Madeleka cheap populatity anayoitafuta kwa gharama ya amqni ya taifa hili itamgharimu.

Suala la baadhi kuachiwa mahakamani ndiyo haki yenyewe kwani sio kila anayekamatwa lazima afungwe , katika kesi za aina zote wapo wanaofungwa hata vifungo tofauti kutegemeana na role ya kila mmoja katika kutenda uhalifu huo na uthibitisho pasipo shaka wa waendesha mashtaka.

Hata wezi wa kuku ukiwachambua utakuta watu wa dini moja au kabila au jinsia au rika wamezidi lakini hiyo haimaanishi kuwa kundi hilo linaonewa.
 
1. Unapo anza kumwita binadamu mwenzako ni Kafiri, hapo ni mwanzo wa fikra hasi dhidi ya jamii fulani bila sababu za msingi.
Hata kama unasoma katika kitabu fulani, unatakiwa pia utumie akili yako ya kuzaliwa kuweza kuchanganua taarifa hizo kwa kutumia akili zako.

2. Unapo hisi au kuambiwa kuwa una onewa na mamlaka pia unatakiwa kutumia akili yako kuchambua hiyo taarifa kwa kutumia akili yako.

Neno Waislamu wanaonewa.
Tunalisikia mara nyingi na wengine wanaandika humu JF na tunawajua kwa majina yao.

Hizi fikra za kuonewa wakati mwingine zinatumika na wafadhiri wa ugaidi ambao wengi wako nje ya nchi kusambaza chuki kwa jamii fulani ili waweze kutimiza malengo yao ya kufanya vurugu katika nchi au eneo fulani.

3. Nia ya kutawala eneo fulani pia ni chanzo cha matendo ya kigaidi.
Somalia kuna eneo linatawaliwa na Al-Shabab.

4. Tamaa ya pesa, vijana na wazee wanaojiunga na vikundi vya kigaii wengi wao hawana ajira rasmi, hivyo kuvutiwa na mishahala wanayoahidiwa na taasisi za kigaidi eg ISIS.

{Dodoso la kutathmini vitendo vya kigaidi}
Mtu akijiunga na kundi fulani la ugaidi, huwezi kumfanyia interview, kwani hatakupa ushirikiano kwakua anajua kuwa ugaidi hautakiwi katika jimii yoyote.

Nani wa kufanyiwa interview?

Hapo ni lazima uwatembelee magaidi wenyewe wakiwa kambini kwao.
Unaweza kuona clips kwenye YouTube.
Zimeandikwa Intervew with Al-Shabab.
Watakupa sababu ni kwanini wanafanya hivyo vitendo.
Na ni kwanini wengi wao ni Waislamu.
Shukran umetoa mwaka mzuri.

Wanaokwenda kuhojiwa ni waathirika au familia zao. Source tutaomba kwa ubalozi wa Marekani, polisi, jeshi kitengo cha kuzuia ugaidi, interpool.

Kata, vitingoji shehia 10 tz. As pilot study
 
Hivyo vikundi mbona havipo nchi za kiislamu kuna kitu hapa , wanakaa sehemu zenye machafuo baada ya Gaddaf wameibuka kule Libya , baada ya Saddam wameibuka Iraq hapa kuna jambo zito sana
Unachokisema ni kweli kabisa ,ila hata apa jf tu japo hakuna bunduki na mabomu ila tunaona machafuko na chuki za kidini kisa tu kutofutiana imani .

Siku upendo wa kweli utakapo shika hatamu kama mbadala wa dini kila kitu kitakaa poa .
 
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli ugaidi upo na waliotuhumia na kukaa ndani zaidi ya miaka 5 kuna aliyekutikana na makosa hayo na kutumikia adhabu.

Jamii ya Kiislamu itaendelea kuuthibitishia umma kwa ni jamii isiyo na hatia kwa kuongozwa na:
• Kindness
• Trustworthiness
• Unselfish generosity
• Humility
• Great manners
• Self-awareness and courage
• Integrity and benevolence
Lakini pia ninyi ndugu zetu tungependa kwa pamoja muthibitishe kisayansi kupitia tafiti kujustify kamata kamata ya waislam kwa tuhuma za Ugaidi kama kuna usahihi wowote au kuna chuki na ubaguzi.

Wakili msomi Maledeka kwa kutumia weledi na ubobezi kaamua kuwasaidia waislam kuuthibitishia umma kuwa kuna hatari kama taifa na kutumia hisia kuwahukumu watu. Na matokeo yake nguvu kazi na pesa za walipa kodi inatumika kwa matumizi yasiyo na sababu zaidi ya kile waislam wanaona ni chuki za ubaguzi.

Wakili msomi anaeza zaidi ktk dkk ya 7 ya clip hii.

View: https://youtu.be/72rIuu-GSf0?si=YgXX61_IVXyjaAxT

Lengo la tafiti hii ni kutaka Maridhiano ya kitaifa ili kama ukamataji wa watuhumiwa uko una justification sheria hii uendelee, lkn kama kuna mapungufu basi sheria hii ifanyiwe marekebisho au ifutwe kabisa ili sheria ya uhalifu itumike kama MBADALA.

Utafiti huu tuwahusishe wadau wakuu wa kusimamia na kudhibiti ugaidi kama idara maalum ya kuzuia ugaidi, jeshi la polisi, jeshi la kimataifa (Interpol), ubalozi wa Marekani.

Naomba ushirikiano wako kwa kutueleza;-

1. Je, kisheria inaruhusia kwa taasisi ya kidini kuja na utafiti wa aina hii.

2. Unaweza dondoa ni maswali gani ya kuuliza kama dodoso katika utafiti huo.

Ili utafiti uje kutuletea majibu sahihi na thabit yenye kusaidia taifa

3. Nani anaishi katika mazingira ambayo jirani zake wamekamatwa kwa makosa ya ugaidi.

4. Je ungependa kushiriki kwa namna moja ktk tafiti hii.

Karibuni kwa michango yenye nia ya kujenga kwa maslahi mapana ya taifa

Pia ni wa mrengo fulani wa chama cha siasa chama tawala.
 
Luka 19:27
Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.

Luke 22:38

The disciples said, "Lord, look! Here are two swords!" Then Jesus said to them, "That's enough!"

Matthew 10:34–36

Jesus telling the disciples that He came not to bring peace to the world, but a sword.

Matthew 26:52

Why then, did Jesus say, “Do not suppose that I have come to bring peace to the earth. I did not come to bring peace, but a sword.”
Aiseeee, mi ni Answar Sunna mwenzako ila hiko ulichoandika ni upotoshaji mkubwa. Tuendelee na mada.
 
Polisi inakanata wahalifu sio waislanu na haikamati kwa uwiano wa kidini au kikabila.

Mleta nada ni mchochezi unayejenga taswira kuwa waiskamu wanaonewa na ilitakiwa na wewe ukamatwe kwq uchochezi na kujenga chuki katika janii.

Nikuulize swali uliishaona au kusikia miongoni nwa waliowahi kukamatwa kwa ugaidi wamo waislamu wa jamii ya Ismalia au Bohra? Kana watu wanakanatwa kwa sababu tu ni waislamu mbona waislamu toka madhehebu hayo hawakamatwi,? au kuna waislamu wanaopendwa na kuchukiwa. Kana mfuasi wa dhehebu lako amekamatwa na unadhani hana kosa basi muwekee wakili ili akifikishwa mahakanani aweze kutetewa sio kupandikiza chuki katika jamii.

Huyu Wakili Madeleka cheap populatity anayoitafuta kwa gharama ya amqni ya taifa hili itamgharimu.

Suala la baadhi kuachiwa mahakamani ndiyo haki yenyewe kwani sio kila anayekamatwa lazima afungwe , katika kesi za aina zote wapo wanaofungwa hata vifungo tofauti kutegemeana na role ya kila mmoja katika kutenda uhalifu huo na uthibitisho pasipo shaka wa waendesha mashtaka.

Hata wezi wa kuku ukiwachambua utakuta watu wa dini moja au kabila au jinsia au rika wamezidi lakini hiyo haimaanishi kuwa kundi hilo linaonewa.
Rudi kwenye mada.

Tunahitaji majibu ya kisayansi.

Tuwekee dodoso. Walengwa ni majirani wa familia zilikamatwa kwa kosa hili.

Jeshi la polisi, ubalozi wa matekani , interpool. Taasisi hizo zina kitengo cha intelligentsia kinachogundua gaidi mtaka kulipua na kumkamata kabla hajaleta madhara.

Lkn wakishakatwa kuchukua muda mrefu kutafuta ushahidi. Na mwisho wa siku ushahidi unaoosekana. Tofauti na mtuhumiwa akiwa mkristo. Mfano Mbowe. Kesho ilichukua siku chache.

So tupatie dondoo
 
Luka 19:27
Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.

Luke 22:38

The disciples said, "Lord, look! Here are two swords!" Then Jesus said to them, "That's enough!"

Matthew 10:34–36

Jesus telling the disciples that He came not to bring peace to the world, but a sword.

Matthew 26:52

Why then, did Jesus say, “Do not suppose that I have come to bring peace to the earth. I did not come to bring peace, but a sword.”
Pole sana mkuu, Yesu aliposema hakuleta amani duniani bali upanga hakumaanisha upanga kama upanga unaoujua wewe. Na aliposema alikuja kumfitinisha mtu na mamaye, babaye n.k hakumaanisha fitina kama fitina unayoijua wewe.

Yesu alimaanisha yeyote atakayemuamini basi ajitoe nafsi yake kumiamini kwa 100% bila kutetereka, haijarishi ndugu, jamaa, jamii itamchukuliaje ila yeye abaki ktk msimamo wake wa imani. Hapo ndipo alipomaanisha alikuja kumfitinisha mtu na nduguye, mkewe n.k
 
Polisi inakanata wahalifu sio waislanu na haikamati kwa uwiano wa kidini au kikabila.

Mleta nada ni mchochezi unayejenga taswira kuwa waiskamu wanaonewa na ilitakiwa na wewe ukamatwe kwq uchochezi na kujenga chuki katika janii.

Nikuulize swali uliishaona au kusikia miongoni nwa waliowahi kukamatwa kwa ugaidi wamo waislamu wa jamii ya Ismalia au Bohra? Kana watu wanakanatwa kwa sababu tu ni waislamu mbona waislamu toka madhehebu hayo hawakamatwi,? au kuna waislamu wanaopendwa na kuchukiwa. Kana mfuasi wa dhehebu lako amekamatwa na unadhani hana kosa basi muwekee wakili ili akifikishwa mahakanani aweze kutetewa sio kupandikiza chuki katika jamii.

Huyu Wakili Madeleka cheap populatity anayoitafuta kwa gharama ya amqni ya taifa hili itamgharimu.

Suala la baadhi kuachiwa mahakamani ndiyo haki yenyewe kwani sio kila anayekamatwa lazima afungwe , katika kesi za aina zote wapo wanaofungwa hata vifungo tofauti kutegemeana na role ya kila mmoja katika kutenda uhalifu huo na uthibitisho pasipo shaka wa waendesha mashtaka.

Hata wezi wa kuku ukiwachambua utakuta watu wa dini moja au kabila au jinsia au rika wamezidi lakini hiyo haimaanishi kuwa kundi hilo linaonewa.
Suala hili tunahitaji mshikamano kwa sana , sema ndio vile ushabiki umechukua nafasi mtaani kwetu alikamatwa shekhe akaenda huko kma miaka 5 , akatolewa eti hana kosa.

Sina nia mbaya lakini binafsi ukienda Mbeya au Moshi kijijini ukivaa kanzu unaitwa gaidi ,serikali itulie chini haswa kuwatumia washukiwa kama njia ya kufanya upelelezi ...Ugaidi sio kazi ndogo maana ni pesa inatumika na maslahi ya wtu , kupambana na ugaidi sawa na madawa ya kulevya wanakamatwa vidagaa .

Mambo hayo huwezi kupambana na kwa kushuku ila ni kukata mzizi na sio rahisi , utakamata hawa cheap ahat pesa hawana ugaidi watu wameweka mabillion ya pesa huko.
 
Hivyo vikundi mbona havipo nchi za kiislamu kuna kitu hapa , wanakaa sehemu zenye machafuo baada ya Gaddaf wameibuka kule Libya , baada ya Saddam wameibuka Iraq hapa kuna jambo zito sana
Kwa hiyo Libya nako ni maladies ndo walimtoa gaddafi? Wale waandamanaji kupinga ustawała wa gaddafi walikua Galatias? Ebu acheni kuwapa sifa wagalatia. Au tuseme wagalatia wamewashikia akili maostadhi. Cha muhimu Mpe ostadhi Abuu dondoo nini kifanyike kuondolea waislam hilo jina la ugaidi
 
Unachokisema ni kweli kabisa ,ila hata apa jf tu japo hakuna bunduki na mabomu ila tunaona machafuko na chuki za kidini kisa tu kutofutiana imani .

Siku upendo wa kweli utakapo shika hatamu kama mbadala wa dini kila kitu kitakaa poa .
Ugaidi ni kazi ngumu kama kupambana na madawa ya kulevya ..

Tukija kweny madawa, miaka ya 2003 waliokamatwa china na saudia walituma barua TZ kutaja waliowatuma hao mapapa wakubwa kabisa , zile barua zillizagaa copies zake , serikali ilifanya nn ?

wengi ni hawa hawa matajiri wa kila siku wapo serikalini , Taasisi za dini , Wafanybiashara wakubwa.
 
Suala hili tunahitaji mshikamano kwa sana , sema ndio vile ushabiki umechukua nafasi mtaani kwetu alikamatwa shekhe akaenda huko kma miaka 5 , akatolewa eti hana kosa.

Sina nia mbaya lakini binafsi ukienda Mbeya au Moshi kijijini ukivaa kanzu unaitwa gaidi ,serikali itulie chini haswa kuwatumia washukiwa kama njia ya kufanya upelelezi ...Ugaidi sio kazi ndogo maana ni pesa inatumika na maslahi ya wtu , kupambana na ugaidi sawa na madawa ya kulevya wanakamatwa vidagaa .

Mambo hayo huwezi kupambana na kwa kushuku ila ni kukata mzizi na sio rahisi , utakamata hawa cheap ahat pesa hawana ugaidi watu wameweka mabillion ya pesa huko.
Moshi lazima uitwe gaidi wanaona labda unataka kuhatarisha ulaji wao wa kitimoto mkuu😁😁
 
Rudi kwenye mada.

Tunahitaji majibu ya kisayansi.

Tuwekee dodoso. Walengwa ni majirani wa familia zilikamatwa kwa kosa hili.

Jeshi la polisi, ubalozi wa matekani , interpool. Taasisi hizo zina kitengo cha intelligentsia kinachogundua gaidi mtaka kulipua na kumkamata kabla hajaleta madhara.

Lkn wakishakatwa kuchukua muda mrefu kutafuta ushahidi. Na mwisho wa siku ushahidi unaoosekana. Tofauti na mtuhumiwa akiwa mkristo. Mfano Mbowe. Kesho ilichukua siku chache.

So tupatie dondoo
Wewe unatembea njiani unakutana na polisi unastuka je unastuka kitu gani?

Nimekuuliza Mbona waislamu wa madhehebu ya Ismalia au Bohra hawakamatwi?

Unataka sheria zibadilishwe ili uwe na uhuru wa kuua watu kirahisi?

Ugaidi uliotokea huko Rufiji, mtwara zanzibar na sehenu zingine hukuusikia? Hujui kuwa kuna magaidi huwa yanakqmatwa yakiwa katika harakati za kutaka kutekeleza ugaidi ?
 
Kwa hiyo Libya nako ni maladies ndo walimtoa gaddafi? Wale waandamanaji kupinga ustawała wa gaddafi walikua Galatias? Ebu acheni kuwapa sifa wagalatia. Au tuseme wagalatia wamewashikia akili maostadhi. Cha muhimu Mpe ostadhi Abuu dondoo nini kifanyike kuondolea waislam hilo jina la ugaidi
Unatakiwa kutumia akili uwe unaelewa kwanza , yaani uwe na akili kubwa .

Pale palishakuwa na mvutano wa democracy umesikia wapo walibyia waliotaka kuongozwa kwa demokrasia , kutoa mfumo huo kule Afghanstan kabla ya Taliban kuchukua nchi walikuwa hao puppet wa democracy . Fitna ni kubwa sana unapotumia mamluki mara zote hata kupindua nchi ni kutokana na mamluki.

Sikia kupindua nchi inahitaji ushirika mkubwa sio wa kitoto , mtu anajua baada ya kupindua atapata ushiirikiano na kina nan ?

Baada ya Gaddaf Libya imefika wapi ?
 
Unaona huu unaotokea kwenu, huu ni ugaidi
Na unasaidi kuleta mabadiliko, lakini najua wewe ni fisi umekimbilia TZ
Huku kwetu, tulishawahi kuambiwa Raisi wetu anaongoza maiti
View attachment 3006261
View attachment 3006262

Machafuko ya kisiasa ni tofauti na ugaidi wenu, maana nyie mnakata watu vichwa kwa kulazimisha uislamu na mambo ya imani, yaani kwanza kabisa huna ushahidi wa uwepo wa allah wako huyo, unafuata maandiko ya muarabu fulani huko jangwani.
 
Pole sana mkuu, Yesu aliposema hakuleta amani duniani bali upanga hakumaanisha upanga kama upanga unaoujua wewe. Na aliposema alikuja kumfitinisha mtu na mamaye, babaye n.k hakumaanisha fitina kama fitina unayoijua wewe.

Yesu alimaanisha yeyote atakayemuamini basi ajitoe nafsi yake kumiamini kwa 100% bila kutetereka, haijarishi ndugu, jamaa, jamii itamchukuliaje ila yeye abaki ktk msimamo wake wa imani. Hapo ndipo alipomaanisha alikuja kumfitinisha mtu na nduguye, mkewe n.k
Ndugu iwapo ayah hizi zingekuwepo ndani ya Quran ungekubaliana na tafsiri hiyo ya kwako uliyoileta.

anyway tusianzishe mada mpya kuchangia kuhusu dodoso.
 
Unatakiwa kutumia akili uwe unaelewa kwanza , yaani uwe na akili kubwa .

Pale palishakuwa na mvutano wa democracy umesikia wapo walibyia waliotaka kuongozwa kwa demokrasia , kutoa mfumo huo kule Afghanstan kabla ya Taliban kuchukua nchi walikuwa hao puppet wa democracy . Fitna ni kubwa sana unapotumia mamluki mara zote hata kupindua nchi ni kutokana na mamluki.

Sikia kupindua nchi inahitaji ushirika mkubwa sio wa kitoto , mtu anajua baada ya kupindua atapata ushiirikiano na kina nan ?

Baada ya Gaddaf Libya imefika wapi ?
Ile mkuu tukitazama haya mambo kwa jicho la undani ,dini zote zina upenyo mkubwa sana wa kutumika vibaya kisiasa , na mfumo mzima wa dini hauwezi kuzuia hilo.
 
Ile mkuu tukitazama haya mambo kwa jicho la undani ,dini zote zina upenyo mkubwa sana wa kutumika vibaya kisiasa , na mfumo mzima wa dini hauwezi kuzuia hilo.um

Umeona eeh!! Nikiri magaidi wanatumia ushawishi wa jamii kupitia dini , siasa na uchumi ...

Ugaidi na uuzaji wa madawa ya kulevya sio rahisi kwa mtu wa chini labda awe kibaka au mporoaji , hayo mambo yanatumika mpaka trillion kukamilisha .
 
Wewe unatembea njiani unakutana na polisi unastuka je unastuka kitu gani?

Nimekuuliza Mbona waislamu wa madhehebu ya Ismalia au Bohra hawakamatwi?

Unataka sheria zibadilishwe ili uwe na uhuru wa kuua watu kirahisi?

Ugaidi uliotokea huko Rufiji, mtwara zanzibar na sehenu zingine hukuusikia? Hujui kuwa kuna magaidi huwa yanakqmatwa yakiwa katika harakati za kutaka kutekeleza ugaidi ?
Ndugu rudi kwenye mada.

Hao wanaokwatwa Paso na ishahidi kukamilika tunataka kujua justification ya kukamatwa kwao.

Moja ya mchingiaji humu wanasema huenda ni kwasababu waislam wa madhehebu yanayokamatwa wanatumia neno kafiri kuwaita wakristo. Siku wakiuacha kutumia neno hilo kama ambavyo hawafanyi mabohora basi kamatakamata yenye hii ya kibaguzi itasimama.

Ok rudi kwenye dodoso
 
Kwa hiyo majina ya kiaarabu yote ni kiislamu ? Unatakiwa ujue ile ni lugha tu , hata yule Maher zain haimbi nyimbo za dini yule ni msanii kwa mwingine 😀 😀 .
Nope si majina tu, na lengo la vikundi vyenyewe, wakiwa na lengo moja tu ku establish caliphate. but why? Je ili ku establish hiki kitu lazima tu commit murder?

Mfano kundi lina operate msumbiji linajiita Ansar al-Sunna, ni branch ya ISIS. Wanaoperate sana sana cabo delgado, and sometimes wana conduct cross border attacks kwenye mipaka ya tanzania

Lengo kuu ni ku establish dola ya kiislamu kwenye eneo husika. According to them

So narudi kwenye analog yako, lets say ni majibanya kiarabu lakini si uislam, kwa simple profile hiyo? Hao jamaa tunawaweka kundi gani?
 
Back
Top Bottom