Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Hakuna povu hapo mkuu, Hell! wakati naandika hiyo comment nilikuwa nacheka kinyama!
It's fun roasting people based on their realities.
 
Kwamba mtu auze nyumba/eneo lake Kariakoo, Ilala ama Magomeni kwa zaidi ya milioni 700 ama hata bilioni then ashindwe kwenda kununua kiwanja Mbezi, Madale ama Tegeta kwa bei ya milioni 30 ama 50?
Mmezaliwa 12 mmegawana million 20 kila mtu mbwembwe zinatoka wapi hapo wazee wengi waliocha nyumba mjini mamwinyi wake 4 watoto 12 na zaidi
 
Unprecedented and unexhibitable biased overexaggeration.
 
kama uchawi na kurogana upo kila sehemu umefika mpanda wewe? sumbawanga uko 90% ya wakazi wa kule ni wakristo na watu wanarogana kama kawaida
 
kama uchawi na kurogana upo kila sehemu umefika mpanda wewe? sumbawanga uko 90% ya wakazi wa kule ni wakristo na watu wanarogana kama kawaida
Mwambie kule Simiyu kuanzia Bariadi, Salunda, Somanda, Nyaumata mpaka Nyakabindi bila kuisahau Old Maswa na Lalago Kuna Uchawi Bagamoyo ikasome.

Wenyeji hawajengi eneo hili, wanakimbilia Kahama, Shinyanga au hata hapo Maswa ila asilimia 80 ni wakristo
 
Bado hujanijibu nilichokuuliza hayo mambo ya lugha sijui blah blah blahs Nyerere aungane na watu wa pwani akaelekezwa sijui ustaarabu karne ya 13 siwezi kukuelewa kama bado mpaka leo 21 century year 2022 wewe upo hapa unajiona star kuelekezwa na mwarabu jinsi ya ”kutawadha mavi uliyokunya mwenyewe”

Mnajitengenezea mazingira ya kudharaulika wenyewe kisha mkidharaulika mnalia tena,kama lugha hata panya wana lugha zao na wanaelewana sembuse Kiswahili na huu ujinga utaukuta pwani na hao wenye dini mnajisifia kubuni vitu vya hovyo hovyo mwisho hata mliopelekwa shule na baba zenu badala muongee vitu vya msingi mnabaki na β€œtumefundishwa kuchamba....tumefundisha kuchamba” huku mifukoni hata cent mbovu hamna.


β€Š
 
Dini ya kiislamu uifahamu unafikiri mtu anaowa tu anavyojisikia wake 2 na zaidi kuna sheria zake 1st lazima uwe muadilifu,uwe na uwezo wa kuwatimizia maitaji yao wote bila kumpendelea mmoja. kama unajua ayo mambo utoyaweza baki na uyo mmoja kwasababu ukilzamisha na ukashindwa kuyatimiza unapata dhambi mpaka unaingia kaburini so usipende kudakia mambo usiyoyajua kisa umeyasikia mtaani..
 
Mijitu mingine imekalilishwa mkuu inaongelea uchawi ivi kuna sehemu yenye uchawi kama kanda ya ziwa na 80% ya wakazi wake ni wakristo
 
Nitajie mtu maarufu anayekaa mbagala awe mwanasiasa au mfanyabiashara au msanii,au mtu yeyote aliyefanikiwa,labda wachezaji wa azam
 
Wewe uliyekuja dar kwa msaada wa elimu unaleta wenge .. kijijini kwenu c mlikuwa mnalala na mbuzi leo unajifanya wa kishua
Kama kurasini ni kijiji sawa,baba yangu mwenyewe hakuzaliwa kijijini,niko mjini tangu enzi za maikarus mzani wa magari ukiwa ubungo,stand ya tanga ikiwa mnazi mmoja,enui za salamander,orchrstra safari sound wakiwa kimara safari resort,enzi za marquis du original,weekend tukienda boogie bilicanas ikiitwa mbowe,movie tukienda,starlight,avalon,newchox,drive inn,empire,empres,odeon
 

Oi! unavyosema hawa watu unakuwa unaongelea kina nani? Wazaramo? Yaani unavyoandika utadhani ni some primitive endangered species.
Hizi habari za wazaramo kucheza ngoma kila jumapili mnazitoa wapi aisee? Mimi ni mzaramo na sijawahi kufika ngomani na wala sijawahi sikia kuhusu habari za ngoma.
Eti hawa watu wa kusaidiwa sio kutengwa? what? kwa mfano wewe unaweza kunisaidia nini mimi?
Wtf are you talking about? Trust me hatujuani lakini kuna asilimia 90% nimekuzidi kimaendeleo mimi kama mimi achana na familia yangu.

Watu wabara mnafurahisha sana. The bloated immensity of the Dunning-Kruger effect is utterly unquantifiable.
 
najua vizuri sheria za kiislamu za kuoa mke wa pili nk

Kwanza inaanzia kitandani kuwa kama mfano mwanaume una nyege nyingi kupindukia anamshughulikia mke kitandani hadi anaona mzigo umemzidi ndio anatakiwa kutoa ruksa kuwa Wewe mwanaume ruksa kaoe mke wa pili tusaidiane huo mzigo wako wa kitandani mimi sitaweza peke yangu

Haya inafika kwa siku unawalala wake wote wawili mfululizo wote wanaridhika hadi kuchukua na wewe bado minnyege iko juu na kuwaambia nyie wanawake bado nataka!! Ndipo hao wanawake wawili wote kwa pamoja wanakaa na kutoa idhini uoe mke wa wa Tatu wasaidiane huo mzigo maana unawaridhisha na kuwachosha lakini wakati wewe bado!!

Haya anaolewa wa Tatu kwa siku unatembea nao wote watatu hadi wanakuwa hoi kitandani wanasema wewe kidume ngoja tukae tuongee tukuruhusu ukaoe mke wa nne!! Tusaidiane huu mziki

Wake wote watatu wanakaa na kuidhinisha kwa kauli moja ruksa kaoe mke wa nne

Sasa Kurani inaamini hakuna mwanaume awezaye kuparamia wanawake wanne kwa siku na akawaridhisha wote hicho ni kiwango cha juu

Ndio maana kwenye Kurani mwanaume kuoa mke mwingine au wengine lazima apate ridhaa ya mke au wake waliopo

Lakini waislamu wanaume wengi hujiona tu kitandani hamna kitu .Huyo mmoja tu anainuka kitandani mwanamke bado anataka!! Vidume vya kiislamu vinara wanawake wengine kisa tu ohh naoa mke wa pili nimeamua uatake usitake!! kitanda wakoo zero anataka tu chungu kipya kijana mpya tu!! Hana lolote!!

Waje waliopo tu kitandani hawaridhishi anao mwingine au wengine..ndio maana wanaume wa kiislamu wengi wenye wake wengi wake zao huchepuka kutembea hadi na wapiga debe ,makonda,bodaboda ,wauza magenta,ma houseboy nk au wahuni wa mitaani tena kwa gharama zao wanawake
 
Nitajie mtu maarufu anayekaa mbagala awe mwanasiasa au mfanyabiashara au msanii,au mtu yeyote aliyefanikiwa,labda wachezaji wa azam
1) Juma Nature the legend himself

2) Mheshimiwa Said fella gulu kwenye masuala ya management ya mziki

3)Mbwana Samatta, Mohammed Samatta

4)Kingwendu msanii wa Vichekesho

5)Aisee kama mchekeshaji anayependa igiza kama yesu.

6)Mwina kaduguda aliwahi kuwa mwenyekiti wa Simba

7)Mhidin gulumo
 
Tuma elf kumi namba yangu hiyo hapo. Acha mbwembwe kijana. Uzaramo, umakonde ni risk factor nzur Kwa umasikin. Hata kama umesoma sishangai kuona ukoo mzima mpo wanne tu. Ukifanikiwa kutuma na fungua na thread ya kutoa ushuhuda. Tusaidiane mkuu πŸ˜­πŸ™
 
Kama ungezaliwa Kurasini usingekuwa mshamba.

Hapo Kurasini upo hostel ukiwa ni mwanafunzi wa ualimu hapo DUCE.
 
Tuma elf kumi namba yangu hiyo hapo pm. Acha mbwembwe kijana. Uzaramo, umakonde ni risk factor Kwa umasikin. Hata kama umesoma sishangai kuona ukoo mzima mpo wanne tu. Ukifanikiwa kutuma na fungua na thread ya kutoa ushuhuda. Tusaidiane mkuu πŸ˜­πŸ™
 
Hizi habari kuhusu wazaramo mnazitoa wapi? Yaani wewe bila shaka sio Mzaramo lakini unaonyesha kuwajua Wazaramo kushinda mimi Mzaramo mwenyewe.
blimey!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…