1. Wa moja haitokaa apate mbili, na wa mbili haitokaa apate moja.....hilo litaenda hivyo mpaka dunia itaisha ndg yangu.
Kwa hapa tz, na ukanda wa afrika mashariki kwa ujumla, mkubali tu kuwa mmestaarabishwa kwa kiasi kikubwa sana na watu wa pwani (Waislamu). Kwao ustaarabu ulianza kutamalaki tangu karne ya 13 huko.
- huko ndo kitovu cha kuvumiliana na siyo kupigana mapanga tu hovyo hovyo kama wanyama kwa vitu hata vya kipuuzi.
- huko ndiko hakuna habari eti za kuua wazee kisa macho yao mekundu hivyo watakuwa wachawi.
- huko hakuna habari za kukatana vidole eti ndo ushahidi wa mke kupendwa na mume.
- huko hakuna wazee wenyeji kukaa na kumuua mgeni fulani pale kijijini eti tambiko na mgeni huyo ndo kafara yenyewe n.k
Vitu hivyo vinakwisha kwa kiasi kikubwa baada ya maingiliano na watu wa pwani, ni ukweli huu.
2. Lugha adhimu ya kiswahili imetoka pwani kaka ndo mkaletewa huko mlikokomaa na vilugha vyenu hadi mkaielewa na sasa sasa mnajivunia......unafikiri kwanini havikutoka vilugha vyenu huko vikateremkia pwani? Jibu linaanzia hapo katika methali yangu niliyoanza nayo. Kuna uwezekano mkubwa mkavielewa na kuvifuata vingine baadae.
3. Mwalimu Nyerere alijaaliwa akili nyingi tu na Mwenyezi Mungu, hilo halina ubishi. Lakini, kwa akili zake hizo alizojaaliwa nazo alijua kuwa ili awe wa kisasa lazima aungane na watu wa pwani......akaenda wakamuelekeza mambo mengi tu na akajanjaruka kweli kweli.
6. Matusi kejeli n.k haziwahi kuwa kikwazo kwa watu wa pwani, hivyo kama kuna mengine endelea kuyashusha tu.
7. Nilifikiri kwa uelewa wako usingepoteza muda kukomaa na neno 'kuchamba' kama 'kuchamba'; bali ungeelewa tu kwa mapana yake kuwa imemaanishwa ustaarabu tu kwa ujumla.