Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Unajua kata ya mtoni Kijichi Ina mitaa minne tu. Mbagala imekamatana sana na mtoni. Misheni mpaka Leo unachagua uiteje. Wengine wanaita mtoni misheni wengine mbagala misheni. Lakn kiuhalisia hakuna eneo linaloitwa MBAGALA MTONI KIJICHI. Halipo unless tuijadili mtoni ni nn?Hapana mtoni siyo jimbo, do your home work.
Hizo ni Social colour. Hakuna eneo utakalopata chamaz Kwa bei hiyo. Hata iwe chamaz IPi..... Labda nje ya miji kama goba au bunjuHizi sehemu ardhi yake haina thamani hata huko mbande na chamazi hapajai kwasababu ni uswahilini hata huko Vikindu patakuja kuwa uswahilini miaka ijayo...
Mtu yupo tayari akanunue kiwanja huko madale mwisho mwisho kiluvya au hata kibaha huko lakini sio hapo Chamazi ambapo ni mjini kabisa, hadi sasa hivi Chamazi milioni 2 unapata kiwanja kikubwa sana mtu anaona bora akanunue kiwanja cha milioni 50 goba kakiwanja kadogo lakini sio kununua temeke
Sijui ninini kifanyike kiondowe huo ushenzi katika hayo maeneo hayo pastaarabike
Sehemu wanapokaa waswahili hapana kwakweli ni full uchawi, kurogana na husda ambazo hata mnyazimungu subhana wataala hapendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu tatizo sio uchawi wala nini.Hizi sehemu ardhi yake haina thamani hata huko mbande na chamazi hapajai kwasababu ni uswahilini hata huko Vikindu patakuja kuwa uswahilini miaka ijayo...
Mtu yupo tayari akanunue kiwanja huko madale mwisho mwisho kiluvya au hata kibaha huko lakini sio hapo Chamazi ambapo ni mjini kabisa, hadi sasa hivi Chamazi milioni 2 unapata kiwanja kikubwa sana mtu anaona bora akanunue kiwanja cha milioni 50 goba kakiwanja kadogo lakini sio kununua temeke
Sijui ninini kifanyike kiondowe huo ushenzi katika hayo maeneo hayo pastaarabike
Sehemu wanapokaa waswahili hapana kwakweli ni full uchawi, kurogana na husda ambazo hata mnyazimungu subhana wataala hapendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitajie post cord ya Kijichi na Mbagala?Unajua kata ya mtoni Kijichi Ina mitaa minne tu. Mbagala imekamatana sana na mtoni. Misheni mpaka Leo unachagua uiteje. Wengine wanaita mtoni misheni wengine mbagala misheni. Lakn kiuhalisia hakuna eneo linaloitwa MBAGALA MTONI KIJICHI. Halipo unless tuijadili mtoni ni nn?
sabasaba ndipo mbagala inaanziaNitajie post cord ya Kijichi na Mbagala?
Nini tofauti yake?
Zamani tukiwa wadogo ilikuwa inaitwa Mtoni Mission na Mtoni Msikitini?
Je pale Msikitini ni Mbagala au Mtoni?
Je Chamazi ni Mbagala?sabasaba ndipo mbagala inaanzia
Mwingine atasema Msikitini ndio kunaanzia.sabasaba ndipo mbagala inaanzia
mbagala 15113Mwingine atasema Msikitini ndio kunaanzia.
Toka kale mpaka ni bonde au mlima
Ndio ukiingia Mbagala lazima uvuke mto Kizinga na kule mwishoni mwa Mbagala lazima uvuke mto Mzinga.
Huu mto Kizinga ndio mpaka kati ya Mtoni na Mbagala kama ilivyo mpaka mto wa Mzinga unaotenganisha Mbagala na wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.
Lakini hujajibu kuhusu Postcode ya Kijichi na Mbagala?
Je zina tofauti?
Hii kesi ya mto si kweli. mto mzinga haitewnganishi pwani na dar. kwa BURUDA bado ni mtoni fatilia kuanzia sasa. MM ni mkaz wa kijichi so, naongea ninachoishi nacho.Mwingine atasema Msikitini ndio kunaanzia.
Toka kale mpaka ni bonde au mlima
Ndio ukiingia Mbagala lazima uvuke mto Kizinga na kule mwishoni mwa Mbagala lazima uvuke mto Mzinga.
Huu mto Kizinga ndio mpaka kati ya Mtoni na Mbagala kama ilivyo mpaka mto wa Mzinga unaotenganisha Mbagala na wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.
Lakini hujajibu kuhusu Postcode ya Kijichi na Mbagala?
Je zina tofauti?
ardhi inapata thamani kutokana na wa2 wanaoishi juu yake!!!,mfano watu wanaoishi goba ni watu wanaojiweza kipesa,wasomi na wafanyabiashara wakubwa na wa kati,pia sio watu wakufuatilia maisha ya wenzao pia wengi sio wazawa bali ni wageni watu wanaoishi mbagala wengi ni wazawa,shule ndogo,ni wachuuzi katika biashara,wengi washirikina na wanafuatilia sana maisha ya wenzao,,,,na wengi wmetokea kusini,,,,,,ntwara,rufiji...n'.k...ni sawa na kulinganisha thamani ya ardhi ya mkoa wa kilimanjaro natabora,au arusha na mtwara....watu wanaokaa juu ya ardhi ya arusha na kilimanjaro hauwezi kuwafanisha weledi wao wa ustaarabu na watu wa tabora na ntwara!!!!....Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
Umesema kweliwapo wachaga lkn ni very few. Anyway, uchagani kuna uhaba wa ardhi hivyo mchaga akitoka tu, kitu cha kwanza ni kupata ardhi. Ndiyo maana wamjzana kila mahali. Makabila mengine walikuwa na ardhi tele, hivyo mtu alitoka kuja kutafuta hela na kurudi kwao, siyo kufanya makazi
Duh Dr ndio anaandika mambo kumbe smtm unakusudia kujizima dataHii ya kuchamba nadhani imechangia ushoga, maana kiislamu kuchamba inatakiwa ujizamishe dole la kati ili nya yote itoke, sasa imagine kuchamba hivyo kwa mwaka si lazima utataka uchambishwe kwa ukuni?
Kwa Buruda Kuna mto Mzinga?Hii kesi ya mto si kweli. mto mzinga haitewnganishi pwani na dar. kwa BURUDA bado ni mtoni fatilia kuanzia sasa. MM ni mkaz wa kijichi so, naongea ninachoishi nacho.
Msasani na Vitongoji vyake ni sehemu wenye Wamakonde wengi zaidi jijini Dar es Salaam na watu kutoka Msumbiji na Malawi mpaka leo hii na kawe.Sehemu iliyokaliwa na wamakonde ogopa sanaa