Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
Sawa mkuuhakuna mtu mwenye "pesa" zake ananunua huko. au mtu wa hadhi anayetafuta kiwanja mbagala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuhakuna mtu mwenye "pesa" zake ananunua huko. au mtu wa hadhi anayetafuta kiwanja mbagala
What is an uncivilized society: (of a society or country) without what is thought to be a highly developed culture and way of life, or (of a person) rude and not showing care for others: uncivilized behavior.Hapana ukisema uncivilized unaharibu utaratibu mkuu. Be fair. Watu wa huku wengi wamekosa elimu ya kileo
shida ya uswahilini hata ukifanya biashara, unapigwa chuma ulete hadi ife.Anachojaribu kueleza ni kuwa maeneo mengi yenye waislamu wengi hayana maendeleo mfano miji ya zamani kama Pangani,Ujiji,Bagamoyo ,Kilwa nk ilitakiwa yawe majiji tena makubwa kuliko Dar,Arusha au Dodoma,au Mbeya,Kahama ,Mwanza nk
Lakini wakazi wake wengi waislamu sijajua shida nini wanasomeshana Alubadiri ili wasifanye maendeleo binafsi makubwa au ni nini? Sababu wengine unakuta pesa wanazo kibao na wasomi sana tu na pesa wanazo lakini hata nyumba tu wanazoishi haziakisi uwezo wa pesa walizonazo!! Tofauti na watu wa dini zingine kama wahindu ,Wakristo na wabudha au wakinga wasio na dini waabudu mizimu .Nyumba za waislamu wengi za kawaida mno !! Pesa wanapeleka wapi?
Aiseeee !!!Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi.... miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
What do you think are the best criteria for highly Stage of civilization ?What is an uncivilized society: (of a society or country) without what is thought to be a highly developed culture and way of life, or (of a person) rude and not showing care for others: uncivilized behavior.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mbagala ni jimbo linalokaliwa kibabe na mkoa wa mtwara .ni kama crimea na urusi.mbagala haiko kwenye himaya ya mkoa wa dar.
Hayo maeneo yako mjini katiBuguruni, Mwananyamala, Tandale na Manzese ni USWAHILINI kuliko Mbagala na Gongolamboto.
Ukiisikia hii kauli unaweza kufikiri muongeaji anatokea Montreal, Canada, kumbe unaweza kukuta yupo zake Simiyu ndaaani huko amepozi mbele ya tembe lao anaponda watu kama hivi. Mitandao bwana!Siku ya Kwanza kufika mbagala, nilipanda gari pale mbagala kuu nikamkuta Mzee mtu mzima ameshikilia bomba huku anakula fenesi. Na Hapo gari imejaa nyomi Ila haujali Wala nn.
Aisee!! Nilidata.
Nafikiri ukitaka upate picha halisi ya mikoa ya kusini basi Mbagala ni sehemu sahihi.
Na chanzo Cha msasani ni nini?Mbagala ni jimbo linalokaliwa kibabe na mkoa wa mtwara .ni kama crimea na urusi.mbagala haiko kwenye himaya ya mkoa wa dar.
Acha pumpupampa ile ni Mbagala kijichi, sisi wa mtoni tulishawakataaCc. Mdukuzii atabisha wakati anajua vizur kijichi. Lakini Kijichi sio mbagala, kijichi ni mtoni
-Squatters
-income levels ie mostly wa kipato cha kati na chini ndio wengi
-Social services (maji umeme barabara)
-Other factors kama civilisation
-Entry point ambapo tunasema tangu awali ilionekana ni makazi ya watu wakawaida.
-Usalama
Etc etc
Siku ya Kwanza kufika mbagala, nilipanda gari pale mbagala kuu nikamkuta Mzee mtu mzima ameshikilia bomba huku anakula fenesi. Na Hapo gari imejaa nyomi Ila haujali Wala nn.
Aisee!! Nilidata.
Nafikiri ukitaka upate picha halisi ya mikoa ya kusini basi Mbagala ni sehemu sahihi.
wasubiri BRT ikamilike, au sio?Muda utaongea...
Tegeta kwa waha kuitwe GeorgiaBasi Mbagala ibadilishwe jina liitwe Crimea na Kimara walikojazana wa kutoka kilimanjaro kuitwe Ukraine😃😃😃