Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkKwa Buruda Kuna mto Mzinga?
Ulikuja Dar kwa Gari la ndizi au mbio za mwenge
Suburb, LocalityPostal codeButiama15129Mgeni nani15129Misheni15129Mtoni kijichi151291 more row
uphd wa nn enh? mbona husemi?Mbagala kwa mbiku ndiko nilikopata uphd wangu
Narudi maana Kuna vitu sikuvimaliza kuviweka sawa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mzee ulikuwa unaishi kwa nyoka?Mbagala kwa mbiku ndiko nilikopata uphd wangu
Mbande Kisewe
Hii ni prejudice inayotakiwa ipigwe vita sanaUwekezaji ni mdogo, serikali imepatenga , kila uwekezaji mkubwa wa serikali unaelekezwa ukanda mwingine wa Dar.
Mfano mradi mkubwa wa uwanja wa ndege ulipopangwa ujengwe Mkuranga uliona ulivyopigwa vita.!!
Jiulize, kuna eneo kubwa la MUHIMBILI kule CHAMAZI lkn serikali ikaliacha na kwenda MLONGANZILA.
HAKUNA hata shule moja ya sekondari yenye viwango inayomilikiwa na serikali. Hakuna hata chuo chochote kinachomilikiwa na serikali.
Sasa njoo upande wa barabara za mitaa ni vumbi tu!! , njoo vituo vya Polisi ni vya kijingajinga tu, misikiti hohehahe, Makanisa kidogooo wanajitahidi. Hospital za serikali ni mpataempatae.
UwongoooooooEneo la Mbagala linaakisi maisha ya mikoa ya kusini
Msasani wamejaa Wasukuma?Ardhi itapandaje thamani wakati wakazi wengi Ni wamakonde?
Zamani Wakazi wa mikoa mbalimbali ilikuwa ni utamaduni kukaa mwelekeo wa kwao, kwahiyo zone hiyo wamejaa makabila duni ya wamatumbi, wandengereko na wamakonde na hata mabus ya njia hiyo sasa hivi ndio angalau kuna hizi Youtong luxury, lakini mabasi ya kipindi cha nyuma njia hiyo ni hovyo kabisa.Sehemu iliyokaliwa na wamakonde ogopa sanaa
Wale wa Msasani rafiki zake Nyerere walikuwa ni Wa Mozambique.Msasani wamejaa Wasukuma?
Wandengereko wanaanzia wilaya ya Temeke kwa wingi, kwenda Mkuranga, Kibiti na Rufiji.Zamani Wazazi wa mikoa mbalimbali ilikuwa ni utamaduni kukaa mwelekeo wa kwao, kwahiyo zone hiyo wamejaa makabila duni ya wamatumbi, wandengereko na wamakonde na hata mabus ya njia hiyo sasa hivi ndio angalau kuna hizi Youtong luxury, lakini mabasi ya kipindi cha nyuma njia hiyo ni hovyo kabisa.
Walikuwa kabila gani?Wale wa Msasani rafiki zake Nyerere walikuwa ni Wa Mozambique.
Nakataa mbona Longido na Monduli wanakaa choka mbaya ? Je, hiyo siyo Arusha ?ardhi inapata thamani kutokana na wa2 wanaoishi juu yake!!!,mfano watu wanaoishi goba ni watu wanaojiweza kipesa,wasomi na wafanyabiashara wakubwa na wa kati,pia sio watu wakufuatilia maisha ya wenzao pia wengi sio wazawa bali ni wageni watu wanaoishi mbagala wengi ni wazawa,shule ndogo,ni wachuuzi katika biashara,wengi washirikina na wanafuatilia sana maisha ya wenzao,,,,na wengi wmetokea kusini,,,,,,ntwara,rufiji...n'.k...ni sawa na kulinganisha thamani ya ardhi ya mkoa wa kilimanjaro natabora,au arusha na mtwara....watu wanaokaa juu ya ardhi ya arusha na kilimanjaro hauwezi kuwafanisha weledi wao wa ustaarabu na watu wa tabora na ntwara!!!!....
Wamakonde wa Msumbiji wanachanja Chale USO mzima wana tofauti na wamakonde hawa wa Lindi, Newala na kwingineko, hawafanani Ki tabia, na Wamakonde wa kuchanja hawana utamaduni wa kuchanganyika na jamii nyingine.Walikuwa kabila gani?
Wamakonde wengi, Wayao na Wanyasa walikaa msasani mpaka kuharibu jina la mzee Mussa Hassani.
Kwa hiyo unataka kusemaje?
Kwamba Wamakonde enzi za Nyerere walikuwa sawa ila Sasa hapana?
Mmakonde wa Tanzania na wa Msumbiji Wana tofauti gani?
Myao wa kusini, yule wa Msumbiji na Malawi Wana tofauti?
Wapo Wamakonde kibao kutoka Mtwara waliokuwa wanachanja chale aliyekudanganya sijui nani?Wamakonde wa Msumbiji wanachanja Chale USO mzima wana tofauti na wamakonde hawa wa Lindi, Newala na kwingineko, hawafanani Ki tabia, na Wamakonde wa kuchanja hawana utamaduni wa kuchanganyika na jamii nyingine.
Hata Bagamoyo Mapinga walikuwepo nenda leo uone kama utawakuta.
Mwenye PhD ya historia ni Profesa Kabudi siyo Mimi, alikudanganya nani PhD holder ni kujuwa kila kitu?Wapo Wamakonde kibao kutoka Mtwara waliokuwa wanachanja chale aliyekudanganya sijui nani?
Kifupi enzi za milki ya Kilwa kulikuwa na Wamakonde wengi kutoka mji wa Mikindani walioenda kuomba katika mji wa Kilwa.
Baadae Mikindani ikakua na Wamakonde waliopo Mwambao mwa bahari kupokea dini ya kiislamu na kuacha tamaduni zao hasa kuchanja.
Hivyo kujulikana kama Wamakonde Marhaba ambao wanatofautiana na wale waliopo bara maeneo kama Masasi, Nangomba, Nanyumbu, Newala na Nanyamba.
Hali hii ilitokea hivyo hivyo na Mozambique kwa jamii za kimakonde zilizopo Pwani maeneo kama Jimbo la Pemba.
Hivyo kuweka ndonya na kuchanja ni Utamaduni wa Wamakonde wote ila kwa Sasa wameuacha.
N.B Lindi wenyeji ni Wamwera
Kilwa wenyeji ni Wamatumbi na Wangindo.
Tunduru wenyeji ni Wayao
N.B hii PHD ulikaa darasani au ulinunua?