Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Popote penye uswahili huwezi kuta panaenzelea
 
Narudi maana Kuna vitu sikuvimaliza kuviweka sawa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Nipende kuweka kama utakavyoona inafaa
Mbagala/Mtoni misheni
Mbagala/ Mtoni Kijichi
Mbagala Mwanamtoti
Mbagala Mgeni Nani

Hii ni mitaa inayounda kata ya Kijichi, tuseme inaitwa Mtoni Kijichi na Mtoni misheni ila hii kata ipo Mbagala kijiografia na kiutawala.

Kama siyo niambie kwa nini Mbagala Mwanamtoti na Mgeni nani ipo kwenye kata ya Kijichi ikiwa Kijichi sio Mbagala?

Kata ya Mtoni yenyewe ni:
Mtoni Unguja
Mtoni Relini
Mtoni Bokorani
Mtoni Madafu
Mtoni kwa Azizi Ally
Mtoni KiChangani
Mtoni Azimio hii nayo ni kata ila sehemu ya Mtoni.
Mtoni Mashine ya Maji
hapa ndio mwanzo wa Mtoni Miaka hiyo ya 80 palikuwa panaota Mbigili na Mchanga mwingi kifupi ndio yalikuwa makazi mapya.

Makazi yakatapakaa na kuchagizwa na ujenzi wa kiwanda Cha KTM hivyo mission na makazi maeneo hayo kujulikana kama Mtoni ila reality ni Mbagala.

Ngoja nikutolee mfano wa eneo jingine ambalo zamani halikuwa eneo la Mbagala ni kata ya Chamazi.

Zamani ilikuwa sehemu ya Jimbo la Kigambon na haikuitwa Mbagala ila mabadiliko yasiyozidi miaka 5 iliyopita, Chamazi imeingizwa kwenye Jimbo la Mbagala na kutolewa Kigamboni.

Hivyo neno maarufu Mbagala Chamazi na mitaa yake:
Chamazi Saku
Chamazi Magengeni
Chamazi Dovya
Chamazi Uvikiuta
Mbande Mwembebamia
Mbande Azam
Mbande Kiponza
Mbande Rufu
Mbande Magogo
Mbande Kisewe
Mbande Tarime

Hivyo logic yako ni sawasawa kung'ang'ania Chamazi sio Mbagala kama wajinga wachache wanavyosemaga [emoji38][emoji38][emoji38][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
 
Uwekezaji ni mdogo, serikali imepatenga , kila uwekezaji mkubwa wa serikali unaelekezwa ukanda mwingine wa Dar.

Mfano mradi mkubwa wa uwanja wa ndege ulipopangwa ujengwe Mkuranga uliona ulivyopigwa vita.!!

Jiulize, kuna eneo kubwa la MUHIMBILI kule CHAMAZI lkn serikali ikaliacha na kwenda MLONGANZILA.

HAKUNA hata shule moja ya sekondari yenye viwango inayomilikiwa na serikali. Hakuna hata chuo chochote kinachomilikiwa na serikali.

Sasa njoo upande wa barabara za mitaa ni vumbi tu!! , njoo vituo vya Polisi ni vya kijingajinga tu, misikiti hohehahe, Makanisa kidogooo wanajitahidi. Hospital za serikali ni mpataempatae.
 
Ipo uelekeo kama unakwenda Msongola kwenye njia ya Dar ring road baada ya kumaliza mtaa Oyster bay na Soko la Kisewe la mazao mbalimbali.

Kisewe zamani ilikuwa kitongoji Cha Kijiji Cha Mbande ikiwepo na Vitongoji vingine kama Magengeni, Rufu, Kiponza ambayo kwa Sasa ni mitaa.

Kisewe imepakana na Kivule, Msongola ambazo zipo Jimbo la ukonga na kata ya Tambani wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.

N.B Mbande ipo kwenye harakati ya kutambuliwa kama kata ili ijitenge na Chamazi kwenye masuala ya maendeleo na kiutawala.
 
Uwekezaji ni mdogo, serikali imepatenga , kila uwekezaji mkubwa wa serikali unaelekezwa ukanda mwingine wa Dar.

Mfano mradi mkubwa wa uwanja wa ndege ulipopangwa ujengwe Mkuranga uliona ulivyopigwa vita.!!

Jiulize, kuna eneo kubwa la MUHIMBILI kule CHAMAZI lkn serikali ikaliacha na kwenda MLONGANZILA.

HAKUNA hata shule moja ya sekondari yenye viwango inayomilikiwa na serikali. Hakuna hata chuo chochote kinachomilikiwa na serikali.

Sasa njoo upande wa barabara za mitaa ni vumbi tu!! , njoo vituo vya Polisi ni vya kijingajinga tu, misikiti hohehahe, Makanisa kidogooo wanajitahidi. Hospital za serikali ni mpataempatae.
Hii ni prejudice inayotakiwa ipigwe vita sana
 
Sehemu iliyokaliwa na wamakonde ogopa sanaa
Zamani Wakazi wa mikoa mbalimbali ilikuwa ni utamaduni kukaa mwelekeo wa kwao, kwahiyo zone hiyo wamejaa makabila duni ya wamatumbi, wandengereko na wamakonde na hata mabus ya njia hiyo sasa hivi ndio angalau kuna hizi Youtong luxury, lakini mabasi ya kipindi cha nyuma njia hiyo ni hovyo kabisa.
 
Zamani Wazazi wa mikoa mbalimbali ilikuwa ni utamaduni kukaa mwelekeo wa kwao, kwahiyo zone hiyo wamejaa makabila duni ya wamatumbi, wandengereko na wamakonde na hata mabus ya njia hiyo sasa hivi ndio angalau kuna hizi Youtong luxury, lakini mabasi ya kipindi cha nyuma njia hiyo ni hovyo kabisa.
Wandengereko wanaanzia wilaya ya Temeke kwa wingi, kwenda Mkuranga, Kibiti na Rufiji.

Hivyo Dar es Salaam ni kwao.

Labda uwataje wakazi wa Vitumbi aka Wamatumbi na wengineo.
 
Wale wa Msasani rafiki zake Nyerere walikuwa ni Wa Mozambique.
Walikuwa kabila gani?
Wamakonde wengi, Wayao na Wanyasa walikaa msasani mpaka kuharibu jina la mzee Mussa Hassani.

Kwa hiyo unataka kusemaje?
Kwamba Wamakonde enzi za Nyerere walikuwa sawa ila Sasa hapana?

Mmakonde wa Tanzania na wa Msumbiji Wana tofauti gani?

Myao wa kusini, yule wa Msumbiji na Malawi Wana tofauti?
 
ardhi inapata thamani kutokana na wa2 wanaoishi juu yake!!!,mfano watu wanaoishi goba ni watu wanaojiweza kipesa,wasomi na wafanyabiashara wakubwa na wa kati,pia sio watu wakufuatilia maisha ya wenzao pia wengi sio wazawa bali ni wageni watu wanaoishi mbagala wengi ni wazawa,shule ndogo,ni wachuuzi katika biashara,wengi washirikina na wanafuatilia sana maisha ya wenzao,,,,na wengi wmetokea kusini,,,,,,ntwara,rufiji...n'.k...ni sawa na kulinganisha thamani ya ardhi ya mkoa wa kilimanjaro natabora,au arusha na mtwara....watu wanaokaa juu ya ardhi ya arusha na kilimanjaro hauwezi kuwafanisha weledi wao wa ustaarabu na watu wa tabora na ntwara!!!!....
Nakataa mbona Longido na Monduli wanakaa choka mbaya ? Je, hiyo siyo Arusha ?
 
Walikuwa kabila gani?
Wamakonde wengi, Wayao na Wanyasa walikaa msasani mpaka kuharibu jina la mzee Mussa Hassani.

Kwa hiyo unataka kusemaje?
Kwamba Wamakonde enzi za Nyerere walikuwa sawa ila Sasa hapana?

Mmakonde wa Tanzania na wa Msumbiji Wana tofauti gani?

Myao wa kusini, yule wa Msumbiji na Malawi Wana tofauti?
Wamakonde wa Msumbiji wanachanja Chale USO mzima wana tofauti na wamakonde hawa wa Lindi, Newala na kwingineko, hawafanani Ki tabia, na Wamakonde wa kuchanja hawana utamaduni wa kuchanganyika na jamii nyingine.

Hata Bagamoyo Mapinga walikuwepo nenda leo uone kama utawakuta.
 
Wapo Wamakonde kibao kutoka Mtwara waliokuwa wanachanja chale aliyekudanganya sijui nani?

Kifupi enzi za milki ya Kilwa kulikuwa na Wamakonde wengi kutoka mji wa Mikindani walioenda kuomba katika mji wa Kilwa.

Baadae Mikindani ikakua na Wamakonde waliopo Mwambao mwa bahari kupokea dini ya kiislamu na kuacha tamaduni zao hasa kuchanja.

Hivyo kujulikana kama Wamakonde Marhaba ambao wanatofautiana na wale waliopo bara maeneo kama Masasi, Nangomba, Nanyumbu, Newala na Nanyamba.

Hali hii ilitokea hivyo hivyo na Mozambique kwa jamii za kimakonde zilizopo Pwani maeneo kama Jimbo la Pemba.

Hivyo kuweka ndonya na kuchanja ni Utamaduni wa Wamakonde wote ila kwa Sasa wameuacha.

N.B Lindi wenyeji ni Wamwera
Kilwa wenyeji ni Wamatumbi na Wangindo.
Tunduru wenyeji ni Wayao

N.B hii PHD ulikaa darasani au ulinunua?
 
Mwenye PhD ya historia ni Profesa Kabudi siyo Mimi, alikudanganya nani PhD holder ni kujuwa kila kitu?

You can be Professor who knows too much about little thing.
 
Back
Top Bottom