Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?


Nakuambia, resources zetu ndio zinajenga kwengine including zenji. Niliwahi kuwaza kwamba kwakweli sisi watu wa arusha hatuhitaji chochote kutoka kwingine tuendele. Tuna enough brain power and skilss kuendeleza kwetu. Natamani hata leo tungetoka Tanzania. Tunaongozwa na watu wa hovyo.
 

Labda wewe ndio unywee. Tumeendelea kabla yenu ; na huwezi kubisha hilo. Na tutazidi kuendelea. Washamba nyinyi
 
Kutoka KIA hadi Arusha mjini ni drive ya 45Minutes hakuna haja ya International Airport Arusha
 
Duu haya bana. Jeshi si la kwako ingia msituni kamanda,ujenge legacy Kama akina ya savimbi
 
Dogo chuga tumekaa sana.

Afu punguza wenge, fanya kitu basi ka Majaliwa ukatoe povu lako bungeni huenda waTizii wakakuelewa huko

Umeisaidia nn chuga kimaendeleo hadi sasa hapa jf

Dogo wa ovyo sana ww kakojoe ulale
 
Punguza matumizi ya ule mmea korofi dogo

Haibu ndo kitu gani? Typing error(s) sote tunazijua acha ujuaji wa kusimuliwa

Pambana ka Majaliwa

Bangi wengine hazitufai tuachane nazo
 
Kutoka KIA hadi Arusha mjini ni drive ya 45Minutes hakuna haja ya International Airport Arusha

Kujenga Airport ya kisasa A town ni muhimu.

Air strip iliyopo sasa hivi ni ndogo sana. Mimi ninaishi hapa Burka jirani kabisa na Arusha air strip. Ninafahamu hili.

Wageni wanaotua KIA halafu waje A town hiyo si sawa sana.

Fikiria hili, kutoka KIA hadi hapa Arusha mgeni inabidi atoe 50 dollars kwa InDriver au huduma nyigine ya usafiri.
 
Kubali au kataa,lakini ukitaka kujua hyo ndyo pointi kwanini hayo masuala hayajawahi kulalamikiwa popote?.Ni kweli Arusha inastahili hayo yote unayoyalalamikia lakini ukienda pale mwanza stendi zote mbili,yaani nyegezi na buzuruga hazina utofauti na hyo ya Arusha kwasababu mm naona suala ni watu wajue stendi ilipo na wapate huduma ya usafiri
 

Sasa dada unaona sawa bus station ya mwanza kuwa mbovu?

Namna yako yakufikiri ina mawaa.

As long serikali inakusanya kodi basi haina budi wajenge bus station inayokidhi viwango.

Inamaana waTz tumekuwa namna hii? Umasikini na huduma mbovu tunaona sawa tu?
 
Nilidhani mmojawapo kumbe likewise, shame on you mazer duck!.

So itisheni kikao cha wanachuga wote muondoena kuwafukuza wananchi wote wasio wazawa wa arusha.

Unataka kufanya arusha haiwezi kukaliwa na kete kama wewe, bullshit!.
 
 
Tatizo ni siasa, Arusha miaka mingi imekuwa ikionekana kama jiji la upinzani, hivyo serikali ya CCM huacha kupeleka maendeleo makusudi ili wapinzani waonekane hawana msaada wowote kwa wananchi.
Na hawata amini macho yao wakizingua tunatebgeneza taifa letu la kasikazini
 
Nyie mko wachache 😂😂😂sana hata population ya miaka ijayo mtabaki 2mil kamili..serikali ndo imejenga mji huo hamna kitu cha asili zaidi ya kujifanya nyie na Kilimanjaro ni mkoa mmoja.
Acha kukariri Geneva ya africa ni arusha giving unajua kwanini aicc imewekwa chugah??au kwanini arusha imeitwa Geneva of africa??
 
Geneva Of Africa

Tatizo la watu wa Arusha ni kuichukulia Arusha km Nchi sio Arusha km Mkoa

Arusha sio Nchi mkiondoa hio mentality soon mtapata maendeleo ila mkibaki na hio mentality mtapitwa hata na Lindi sio Zanzibar tu,
Wewe ndo hujui arusha inakuja juu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…