Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Huduma mnazotaka hata huko Namtumbo, wanazihitaji. Arusha mna mapato ya ndani sidhani kama ni busara kulilia vifaa tiba?
 
Wewe hujui dar imejengwa kwa pesa za mikoa hii arusha,mwanza,moshi sasa hivi itajengwa dodoma dar itakuwa ya pili,dodoma wanaenda kushikilia taifa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hata bunge lipo dodoma kweny ukame ...kuwa na akili eti kwa nn? Mbona hapana ikulu hata ndogo
Wewe ikulu haiwezi kukaa arusha kwa sababu arusha imepakana na kenya,ikulu inatakiwa ikae katikati ya nchi kwa masuala ya ulinzi,ndo maana mikoa yote iliyopo pembezoni mwa nchi lazima kuwe na kambi ya jeshi ili kusaidia taifa linapovamiwa
 
Sasa si mfanye muondoke hapa dar muende kwenu au mnataka Yale mauaji ya kimbali...Tuwatafute tukiona meno ya kuoza ni mwendo wa parungu tu ...fanyeni muondoke maana watu wa ajabu sana jua lote mnavaa majackets Tena kweny mwendokasi ..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

mji una idadi ndogo ya watu kumbe mko ugenini mkirudi kweny mnaweza kufika hata 3mil .ila hamtaki.

Kiuhalisia mji Mimi bila ya bahari hata ziwa moja siwezi kukubali sijui wanyama pori sina time nao na milima nije kutoka vigimbi vya miguu vya nn?

Rudini kwenu joto lipungue hapa Town.
 
Wewe ikulu haiwezi kukaa arusha kwa sababu arusha imepakana na kenya,ikulu inatakiwa ikae katikati ya nchi kwa masuala ya ulinzi,ndo maana mikoa yote iliyopo pembezoni mwa nchi lazima kuwe na kambi ya jeshi ili kusaidia taifa linapovamiwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mna potential gan? Zaidi na zile mmejenga nying vil vyuo vyote bado population ni ndogo yaani watu waliomaliza mji haufai wanasepa ...mkoa gani hauna potential mpaka hata top ten hauingii kweny most populous regions in Tz.

Mapato ni hizo kampuni ambazo ni sera ya serikali kufanya kuwa sehemu ya utalii ..wananchi mnakimbilia either dar au Nairobi pesa ni ngumu iko kwa watu wachache ...Haina impact kwa mtu mmoja mmoja Maisha yapo juu...hata samaki mnawajua nyie?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚bado mjini wamasai wanatembea matako yako wazi yaani vioja kabisa.
 
Kwani KIA hawaitoshi? Uwanja wenu terminal inapanuliwa, kweli unataka kila mkoa uwe na International Airport? Yaani at proximity ya 40km tuwe na International Airport nyingine?
 
Wacha uongo, muijenge DAR mje mlilie serikali kuwabagua maendeleo?????
sasa ndo utaona omba MUNGU akupe miaka mingi uliuone kwa macho yako dar inaenda kuwa jehanamu ya tanzania,kwanza shughulikieni tatizo la maji,napoteza mda wangu kwa watu hawajaoga week nzima,hivi leo umekunywa maji??sasa najiuliza chooni mnachambaje au mnatumia makaratasi??ndo maana kariakoo pana nuka mavi
 
Mimi nipo Chugaa, na sasa hivi nimesogea hapa kokorikoo
 

Sasa wewe dada hao wanaojiita viongozi wakiserikali wanamuhusu nini mtoa mada?

Hao ndiyo hawatakiwi. Wanakusanya pesa za wananchi kwa wanachokiita kodi lakini bado huduma mbovu kama tupo mwaka 60.

Kama bado hujanielewa, nikusaidie. Huyo uliyemuweka kwenye picha yako yeye pia ni sehemu ya tatizo.
 
Sasa hapo kwenye kutembea uchi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… dada zenu wanatembeaje???kweli nyani haoni kunduleee
 
Huduma mnazotaka hata huko Namtumbo, wanazihitaji. Arusha mna mapato ya ndani sidhani kama ni busara kulilia vifaa tiba?

Unataka mwananchi ajinunulie vifaa tiba akienda hospitali iliyojengwa kwa pesa za kodi yake?

Mantiki yako ni nini?

Acha ujuha, watu wote wakiserikali mimi usinihusishe nao.

Si ndiyo hao wameshindwa kutoa basic needs?

Mapato ya ndani my ass, si ndiyo hizo pesa hao watu wa serikali wanaziiba kila siku?

Hao si watu wetu
 
Wacha uongo, muijenge DAR mje mlilie serikali kuwabagua maendeleo?????
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mnavaa mashuka matatu ila bado makalia yako nje...
Kwa taarifa yako kama hujui,mimi ni maasai,ngoja nikuambie kwanini wamasai hawavai masuruale ya jeans,mwanaume anatakiwa kutokuvaa vitu vya kumbana nyeti zake,ili mashine ipumue na ikue zaidi,ndo maana wanavaa mashuka,na wamasai wanamashine hatari,sasa wewe upo dar joto kali bado unavaa boksa inabana uume wako,hivi siutakuwa kibamia tu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ndo maana mnafangasi kwa sababu ya joto kali
 
πŸ‘‰πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Na bado kabisa niache kuvaa mikito ya maana nivae mashuka ambayo hata ukipiga perfume inadunda unabaki unanuka maziwa kama kitoto cha kondooo...Hata week huku town huwezi kuvaa Yale mashuka kama mganga wa radi mpaka ukirudi porini kwenu.

Na zile ngeu mbona meno ya mbele hamna ?
 
Wacha uongo, muijenge DAR mje mlilie serikali kuwabagua maendeleo?????
Shughulikieni tatizo la maji ndo mje huku kutupigia kelele,maji ya nawashinda lakini bado mnasema dar panzuri,miundo mbinu ya maji hauna ndo maana kipindi cha mvua mnafungulia vyoo,ebu tatueni maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…