Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Kama unataka kuolewa we sema[emoji38][emoji38][emoji38]
Chap nije Kutoa posa............
Mtu ambaye huna mbele Wala nyuma
Utaniambia nini ?
Bwabwa wewe

Unajichekesha nini dada?
 
Bw. Gerald Kusaya amesema wamefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mfanyabiashara wa Kaloleni jijini Arusha Abdulnasir Haroun Kombo akiwa na biskuti 50 zilizotengenezwa kwa kutumia dawa ya kulevya aina ya bangi kama moja ya malighafi akiwa anaziuza eneo la Kaloleni jijini Arusha. CLOUDS REPORT.

Huwezi kutumia bangi toka ukiwa mtoto halafu ukubwani uwe na akili timamu. NEVER
 
Majitu yanakwamisha Hadi naendelea Yao Sasa sijui wasaidiwaje👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221115-215352.png
    260.8 KB · Views: 8
Fact

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nimeona mnahusisha bangi na vitu visivyofaa, lakini sio ukweli kabisa wapo watu wanatumia na ni watu wastaarabu kabisa vivyo hivyo kwa vilevi vyengine kama pombe n.k. Mfano mzuri ni Obama anatumia bangi na alikuwa Raisi Marekani Bob Marley alikuwa mwanaharakati aliyefikirisha vichwa vya watu wengi na viongozi wakubwa Duniani.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Taja wa Arusha mtumia bangi anayefikirisha ulimwengu.
 
So wewe unawajua watu wote wa muhimu katika nchi hii?
Hadi wa huko duniani ilimradi wawe wa mhimu. Arusha hakuna mvuta bangi mwenye akili, wote ni kuvuta na kuvaa mashati makubwa kama mapoyoyo.
 
Hadi wa huko duniani ilimradi wawe wa mhimu. Arusha hakuna mvuta bangi mwenye akili, wote ni kuvuta na kuvaa mashati makubwa kama mapoyoyo.
Aisee nilikuwa nafikiri najadiliana na Mtu ambaye at least ana nia ya kuelewa au kueleweshwa kumbe wewe upo kishabiki na kuponda

Watu wa Arusha wasingekuwa na akili wasingefanya mambo ya maendeleo kama wanavyofanya huku serikali ikiwasupport kwa asilimia ndogo sana

Pia, ufaulu kwa Wanafunzi upo vizuri....ingia kwenye Web ya NECTA na uangalie wanafunzi walioshika Top Ten kitaifa kuanzia 2010 mpaka leo wa Arusha ni wangapi?

Utasemaje Bangi inawaathiri? Kwa ushahidi upi?
 
Arusha ndo ifanye nihangaikie kutafut top 10 wa toka enzi hizo? Nisije nikawa naongea na mvuta bangi hapa!!
 
Arusha ndo ifanye nihangaikie kutafut top 10 wa toka enzi hizo? Nisije nikawa naongea na mvuta bangi hapa!!
Wewe una umbea na udaku kama Mwanamke, utafiri ulibebeshwa mimba na Mtu wa Arusha kisha akakutelekeza

Mimi naenda na Facts, wewe unaenda kimbea
 
Wewe una umbea na udaku kama Mwanamke, utafiri ulibebeshwa mimba na Mtu wa Arusha kisha akakutelekeza

Mimi naenda na Facts, wewe unaenda kimbea
Kwa hiyo hao walioingia top ten kutoka arusha walikuwa wanavuta bangi wakiwa wanaenda kwenye mitihani?
 
Wewe una umbea na udaku kama Mwanamke, utafiri ulibebeshwa mimba na Mtu wa Arusha kisha akakutelekeza

Mimi naenda na Facts, wewe unaenda kimbea
Unapata wapi ujasiri wa kubishana na mtu ambaye akiona wazungu anamkimbilia mama yake akisema maa maaa nimeona wanyonya damu?
 
Unapata wapi ujasiri wa kubishana na mtu ambaye akiona wazungu anamkimbilia mama yake akisema maa maaa nimeona wanyonya damu?
Mzungu ndo nani? Nyie wavaa marapurapu mnamatatizo sana! Ndo maana mnafirwa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…