Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Jitengeni hao agency wanahama tu😂
 
Eti USA mbona mnadhalilisha jf kwa kujitia great thinkers?? Hyo Ar hata uunganishe na Kilimanjaro ina hadhi ya kuitwa USA? Hadi mnatia aibu mnavojiona wa maana huku mkiandika urojo mtupu.
 
Nilisoma enable issue ila sikuwa najua hilo
Kwanza kabisa Kanisa la ILBORU Lutheran la 1904 lilijengwa kwanza kwa sehemu kubwa na Wanawake then Ilboru Sec, Enaboishu, Kimandolu na Mringa ina mikono ya Wananchi zaidi kuliko serikali
 
Serikali inakusanya kodi, maana yake LAZIMA itele miradi bora ya jamii.

Kama hawawezi wakae pembeni.

Hata unaelewa wewe dada?
Serikali inafanya promo ya loyal tour Hawa walitua dar hivi karibu hawachukui siku kudhaa utawaona huko Arusha.
 
Maendeleo yapi ? Mbona stendi na airport mnalilia serikali viruu si mpambane !!
Ficha upumbavu na ujinga wako..hao wananchi wa mkoa huo wanalilia sababu pesa zao za Kodi zinajenga flyover dar na vi stand vya ajab ajabu kwenye mikoa midogo Sana huku wananchi wa mkoa huo hawanufaiki .

Hivo wanaweza Jenga wenyewe ila sharti msiende chukua Kodi huko
 
Umeandika mada nzuri ila umemaaliza kwa dharau na kashfa pia
Sio kashfa ilo ni jamii zetu hata hapa dar wachache wale walioko kweny madili Tena wageni ila watu wa Pwani wenyewe ndo njaa kuishi mbagala ,vingunguti na Tandale ni njaa kali ila target soko kuu kama kariakoo ni mpaka east Africa watu wanakuja fanya biashara
 
👉👉👉Flyover unalilia ya wapi? Wakati dar inatoa 89% nyie hta 3% ya kodi zote mnafika...Rudi shule utajua mahesabu instaed ya kutaja dodoma usitaje dar iko mbali kuliko huo upumbavu wako.
 
Zoba !! Unapambana mwenyewe jengeni airport na stendi ...Tunaongea na major players wa industries ya tourism sio mshika mabegi na kuomba watalii.
 
visiting Mt Kilimanjaro, Ngorongoro, Serengeti, Lake Manyara, Tarangire
Hizo zozote ulizozitaji kiujumla zinaitwa foreign investment mkuu, kwa kiswahili tunasema wazungu wamewekeza ni wabongo wachache wanaotembelea huko mara kwa mara ila wazungu wana hadi makampuni yanayoleta watu kutoka nje kuja kuwaonyesha vivutio
 
Serikali inafanya promo ya loyal tour Hawa walitua dar hivi karibu hawachukui siku kudhaa utawaona huko Arusha.

Ona sasa unavyojiaibisha.

Nikwambia huna akili nitakuwa nimekosea?

Hakuna mgeni anakuja Tz kwasababu ya film ya royal tour.

Kwanza hata huyo rais wako hawamjui na hawana time naye.

Arusha LAZIMA iendelezwe maeneo yote ambayo serikali haina budi kufanya hivyo.

Tofauti na hapo tutapambana nao hapa kwenye online na mtaani.
 
Arusha inajengwa na wakazi wa arusha na si serikali hohehahe. Sawa wewe jinga?
Jengeni stendi na airport..wakazi wapi hao angalia vyuo vikuu ,bunge la east Africa limchangia kujengwa kwa miundombinu ..so nyie mlijenga bunge lile la EAC ...wakazi wenyewe wavaa matonya na kuombaomba watalii.
 
👉👉👉Flyover unalilia ya wapi? Wakati dar inatoa 89% nyie hta 3% ya kodi zote mnafika...Rudi shule utajua mahesabu instaed ya kutaja dodoma usitaje dar iko mbali kuliko huo upumbavu wako.
Kwa hio 11 Ni asilimia 89 zidi ya 7😁 we Bora uende bangbross ukapigwe 3some haya maswala nyeti usiingie kabisa

By the way siishi Arusha Wala sijawahi ishi huko
 
Hizo zozote ulizozitaji kiujumla zinaitwa foreign investment mkuu, kwa kiswahili tunasema wazungu wamewekeza ni wabongo wachache wanaotembelea huko mara kwa mara ila wazungu wana hadi makampuni yanayoleta watu kutoka nje kuja kuwaonyesha vivutio

Wewe jinga hapa Arusha vifaru wengi ni raia wa hapa Arusha, ngozi nyeusi kama ya kwako.

Ni vile tu huna akili na umezoea mambo ya juu juu.
 
Kwa hio 11 Ni asilimia 89 zidi ya 7😁 we Bora uende bangbross ukapigwe 3some haya maswala nyeti usiingie kabisa

By the way siishi Arusha Wala sijawahi ishi huko
Kijana unajua unaongea nn? 😂😂😂Unazijua takwimu kabebe mabegi naongea na wakubwa zako kumbe hujui kitu😂😂😂
 
Acheni tu kuvuta Bangi kwa Kupitiliza.
 
Jengeni stendi na airport..wakazi wapi hao angalia vyuo vikuu ,bunge la east Africa limchangia kujengwa kwa miundombinu ..so nyie mlijenga bunge lile la EAC ...wakazi wenyewe wavaa matonya na kuombaomba watalii.

Wewe ni mjinga mmoja.

Wakazi wa arusha hawana shida na Watanzania wa kawaida ambao wengi ni masikini.

Hoja hapa ni serikali kupuuza mkoa wa Arusha.

Umeelewa dada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…