T
Tanzania nzima ni potential mkuu, basi tu hakuna mipango na usimamizi wa kimkakati kuendeleza taifa.
Bado siku 9 kombe la dunia mpira wa miguu litafanyika Qatar.
Ukiangalia nchi ya Qatar ni ndogo sana, Tanzania imeizidi mara 82.
Uchumi wao mkubwa ni mafuta, gesi na utalii, ila pesa wnayotengeneza na matumizi inasimamiwa vizuri
Tanzania tukijipanga tungeweza kufika na kuzidi. Kama ni gesi tunayo ya kutosha na rasilimali watu tuko milioni 61 ukilinganisha na milioni 2 ya Qatar
ila kwa sasa tumeshachelewa
kila mtu anajichukulia anachoona kama shamba la bibi
Kwa habari zaidi:
Economy of Qatar - WikipediaView attachment 2413384
qatar miaka ya 70
View attachment 2413385
qatar ya sasa